Jasusi mbobezi na mwanadiplomasia aliyetukuka rais ajaye kabla 2020 ndugu Bernard Kamillus Membe kama angekuwa leo rais Swala la kuuwawa Khashoggi angeingilia kati na kutuliza mambo kwa njia ya upatanishi na diplomasia.
Akiwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4 Membe aliweza kuiweka karibu sana Tanzania na mataifa ya uturuki na Saudi Arabia.
Pia Membe angekuwa rais angeenda mbali zaidi kwa kuwaleta karibu Saudi Arabia na Qatar kwa kuwafanya ku "extend an olive branch" katika mustakabali mzima wa mashariki ya kati.
Chini ni picha Rais Membe akimwaga balozi wa Saudi Arabia aliyemaliza muda wake ndugu Hani Abdullah alipokuwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4
View attachment 914182