Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Nikajua ni mimi pekeyangu ambaye sielewielewi.Aisee hizi nyuzi za Membe zimezidi watu wametumwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua ni mimi pekeyangu ambaye sielewielewi.Aisee hizi nyuzi za Membe zimezidi watu wametumwa nini?
Cha ajabu analalamika urais ni mgumu sana ila bado anampango wa kugombea tena 2020. Kama mambo ni magumu apishe wenye pumzi wapige kazi. Analalamika chai ya moto halafu anaendelea kunywa
Ujenzi wa reli ilitikiwa iwe topoc ya majadiliano miaka ya 70-80.Ni aibu kwa mtu mwenye uelewa na exposure kujadili ujenzi wa reli,tulitakiwa tuwe nayo hyo reli miaka 20-30 iliyopita.Nawashangaa, tuache kujadili ujenzi wa reli tujadili mambo ya waarabu
Ahahahaaaa huenda ID yake imedukuliwaKesho jibu litapatikana kama ni yeye au sio yeye
Apoteze mara ngapi! Si unasikia huko ametoa bei elekezi ya korosho eti 3000Jiwe akiona haya mathread anaweza akapoteza network.
Ccm chochote kinawezekana mkuu, ogopa sana kuchokwa na watu wako.Nafasi ya urais ndani ya ccm inapigiwa kura za maoni?
ahahahahahaha, exactly chief!Panic button imeshabofwa! Watu wataacha shughuli za maendeleo na kuwekeza juhudi katika kumtafuta mlozi
Wakati wa kampeni alikua mpole, mnyenyekevu anaongea kwa uchungu kama mwanamke anayekaribia kujifungua kumbe ni bazazi la kutupwa. Leo wakurugenzi wa halmashauri wote ni makada tena wenye tishio la kutomtangaza mpinzani kuwa mshindi jamaa katuharibia sana nchi yetu kabakia kujisifia tumenunua ndege kwa mpigo tukidai alete utaratibu wa manunuzi anageuka mbogoHapo sasa!! Cha ajabu watanzania watampa tena kazi mtu aliyelalamika ameshindwa kazi
Raisi wangu Magufuli bhana.Membe ndiye rais wako wewee
Bora mwizi kuliko jambazi(roho mbaya)Membe hana tofauti na Lowassa kwa wizi/ufisadi…..hafai hata kidogo kuwa rais.
Sio bure kuna watu wamejazwa wakajazikaAisee hizi nyuzi za Membe zimezidi watu wametumwa nini?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watu mna utani na jiwe"chini ni picha ya Rais Membe" daaaadeki mnatafuta balaaaaJasusi mbobezi na mwanadiplomasia aliyetukuka rais ajaye kabla 2020 ndugu Bernard Kamillus Membe kama angekuwa leo rais Swala la kuuwawa Khashoggi angeingilia kati na kutuliza mambo kwa njia ya upatanishi na diplomasia.
Akiwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4 Membe aliweza kuiweka karibu sana Tanzania na mataifa ya uturuki na Saudi Arabia.
Pia Membe angekuwa rais angeenda mbali zaidi kwa kuwaleta karibu Saudi Arabia na Qatar kwa kuwafanya ku "extend an olive branch" katika mustakabali mzima wa mashariki ya kati.
Chini ni picha Rais Membe akimwaga balozi wa Saudi Arabia aliyemaliza muda wake ndugu Hani Abdullah alipokuwa waziri wa mambo ya nje awamu ya 4
View attachment 914182
NdiondioHahahaaa sasa hivi ni mwendo wa kuwatia pressure tu