Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Habari wakuu

Kutokana na hali inavyoenda ya uendeshaji wa nchi ni wazi rais anatakiwa abadilishwe kupitia sanduku la kura mwaka 2020

Hivyo sisi watanzania tunapenda na tunatamani kusikia sauti ya kiongozi wetu mpendwa mwenye nia ya kulivusha taifa kwa hapa lilipokwamia, ndugu, mheshimiwa na mwanadiplomasia Benard Membe

Jitokeze wazi tusikie kauli yako watanzania tufarijike kwani mwaka 2020 ni jirani sana

Nawasilisha
Jamani mtamponza mzee wa watu.
 
1.Mwanadiplomasia mzoefu.
2.Mwanakitengo mstaafu
3.Msomi aliyeelimika
4.Ana busara na hekima
5.Mzalendo
6.Mbunifu
7.Mediator mzoefu

Nimalizie tu hapo, ni jinsi tu ninavyomfahamu. Ni hivyo tu basis.
 
Wala hawatongozeki kirahisi bali ni ma-low IQ tu, hawajaanza leo walianza kumsifia Kenyata, wakaja kumsifia Kikwete na sasa wamehamia kwa B.Membe, kwa akili yao ndogo hakuna kitu wanasimamia hivyo chochote kikija na Mbowe akiyaambia yanafwata yanafikiri yatamchonganisha na Raisi Magufuli!
Ni wajinga, nawaonea huruma wanavyogeuzwa kama chapati.
 
ENDELEENI TU KUPOTEZA BANDO ZENU. Watanzania hawawezi kuiuza nchi kizembe hivyo.
 
Wewe ni mwanachama fake wa CCM au umejitoa ufahamu tu. Hakunaga utaratibu wa kuruhusu watu wapambane na mwenyekiti wenu baada ya term moja
 
Membe hana tofauti na Lowassa kwa wizi/ufisadi…..hafai hata kidogo kuwa rais.
Ameiba shinggapi? Mbona huyu wenu ndo kakwapua wani pwenti faivu mchana kweupe. Hili ndo jizi baya mno. Ngoja BCM aje afukue makaburi ya jiwe na Bashite tuone.

T2020BCM

T2020TAL. Tuonane field
 
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
Kwa makubariano yapi?
 
Baadhi yao wanachukua hyo rushwa ya sisiemu sababu ya njaa, wanaenda kimwili, lkn mioyo yao ipo nyumbani
 
Inawezekena wanaoleta hizi habari ni ccm lakn washabiki wake ni wapinzani, wanaoshabikia bila kuelewa.
Unajuaje kama huyu anayeshabikia ni mpinzani?Yaani hapa jukwaani wengi wanatumia fake ID,sasa unawezaje kusema hii comment ni ya mpinzani au ccm??
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.
Unalipwa au unajitolea?
 
Unajuaje kama huyu anayeshabikia ni mpinzani?Yaani hapa jukwaani wengi wanatumia fake ID,sasa unawezaje kusema hii comment ni ya mpinzani au ccm??
Wewe inaonekana umeanza kufuatilia siasa juzi
 
Back
Top Bottom