Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Kweli lazima tuachane na kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli lazima tuachane na kichaa
Hata dunia haikuamini Jaluo kuja kuwa raisi wa America!Atagombea kupitia chama gani? Maana kwa CCM wana utaratibu wa kumwachia Rais aliyepo madarakani, labda kama utaratibu utabadilishwa. Membe asijitafutie mabalaa.
Kichaa akiingia ulingoni na Membe anatolewa asubuhi na mapemaMembe kwanza CCM baadae,Mambo ya kusema kila rais chini ya CCM aongoze miaka 10 imepitwa na wakati,hii miaka mi3 tu inaonekana kama 100 ndio apewe mingine mi5? Hapana Membe ATOSHA.
Hujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?Anafanya mazoezi na miwani
hakuna cha mapenzi mkuu .. hapo imesha tembezwa pesa so wanatafutwa wajinga wavuliweYaani zinanipita hivi hivi, hizi sifa anazomwagiwa huyu jamaa humu haiwezi kuwa ni mapenzi kwa jamaa.
I see!#MembeForPresidence
#MagufuliMustGo
Hapana mkuuHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Mkuu hebu dadavua vzuri hapo kiroho ilikuwaje wakakataliwa na kwanini hyo.combination ilikataakuandaliwa kupo kwa aina mbili
_system kukuandaa
-kuandaliwa katika ulimwengu wa roho...
Unaweza kuandaliwa na system lakini connection na rohoni kukakukataa hapo piga ua hautapita
unless otherwise itokee kitu "Fulani"
Membe na Mr lowassa wao walijiandaa ki system but katika ulimwengu wa roho walikataliwa.
nami nashangaa huu upepo wa kasi ukivuma kwa kasiKuna kitu kisichojulikana kinafukuta mtaa wa lumumba.
Kitajulikana tu katika muda usiojulikana.
Wanamjaza upepo tu kama walivyomwaminisha Lowassa kuwa atakuwa rais matokeo kila mtu anajuaKuna kitu kisichojulikana kinafukuta mtaa wa lumumba.
Kitajulikana tu katika muda usiojulikana.
Membe kwanza CCM baadae,Mambo ya kusema kila rais chini ya CCM aongoze miaka 10 imepitwa na wakati,hii miaka mi3 tu inaonekana kama 100 ndio apewe mingine mi5? Hapana Membe ATOSHA.
Upepo tu utapitanami nashangaa huu upepo wa kasi ukivuma kwa kasi
Certified Idiot upo