Chadema, itafaa.Naomba nikulize membe agombee urais kupitia Chama gani
Labda uniazime akili yako nikapigie kura, otherwise tupa kule huyu stone-tangawizi25/10/2020
Chagua John pombe Magufuli
JPM ATOSHA ✓
Mumejawa na mashaka na tayari watu wamepandwa kwenu mnadhani mu wajuaji shenzi type..Chadema, itafaa.
Ila mambo mengine ni ya ajabu sana, kwa katiba yetu iliyompa madaraka makubwa sana Rais halafu bado watu 14 tu wanamrudisha nyuma kama hizo taarifa ni za kweli basi tuna Rais mchovu na dhaifu sana kupita maelezo.katema cheche balaa.......
kataja watu 14 wanaomrudisha nyuma Ngosha...
Mmmh kwakwel GENTAMYCINE bwana [emoji848][emoji848][emoji848]Na akimaliza muda wake au akitoka huyu tutaangalia nchi tumpe ama Profesa Makame Mbarawa au Dkt. Hussein Mwinyi kwani GENTAMYCINE navutiwa nao sana Kiuongozi na nawaona ni ' Potential Candidates ' kwa mwaka 2025 na wakitaka wanifurahishe kabisa kama mmoja wao akichua nchi basi Uwaziri Mkuu ampe / apewe Waziri ninayemkubali katika Awamu hii ya JPM aitwae Suleiman Jaffo. Naamini CCM hawataniangusha katika ' machaguo ' yangu haya na yatakuwa kama ninavyoyaombea yawe lakini wakijisahau au kujiroga tu wampe Membe ndipo mtajua kuwa kumbe hata Tanzania ' Waasi ' wapo ila wametulia tu wakiusoma mchezo na ' nitakinukisha ' Tanzania nzima hadi Membe akimbie nchi.
Mbona unaweweseka kamanda?Mumejawa na mashaka na tayari watu wamepandwa kwenu mnadhani mu wajuaji shenzi type..
Kama tulikula majani na mchanga ili ndege ya Rais inunuliwe ndo itakua kula diplomasia, tutakula tu ili mradi MEMBE aingie ikulu. PumbavuUtakula diplomasia? Pumbavu