fungua macho mkuu .Sielewi jamani
Mnafurahisha sanaMembe tuko chini ya miguu yako. Tumeamua kupaza sauti nakukupigia debe bila hata wewe kututuma. Tumechoka tusaidie meanadiplomasia wetu uliyetukuka. Toka na utamke neno vijana tuko nyuma yako.
Tusaidie Membe. Saidia taifa letu ni wewe tuuu
Huko ccm kuna wa kumkoromea?Ningekuwa CCM ndani ya chama lazima tufanye kura ya maoni tena,maana kichaa alibebwa na jahcarhire,na uhakika ccm wakifanya sawia kwenye kura za maoni JIWE hapiti labda atumie UBABE kama anaotumia sasa kwa kuwapitisha "WATUMWA" kugombea tena kupitia sisiemu baada ya kununuliwa na kuacha uongozi walipotoka UPINZANI.
unaambiwa hajalala wiki ya pili sasa !
Wakiungana CCM kwa 100% jamaa anang'oka kwenye kura za maoni na akileta ubabe navyowajua ccm ukienda nao tofauti wanamwaga ugali wanachagua upinzani.Huko ccm kuna wa kumkoromea?
fungua macho mkuu .
Mnajidanganya. Na huyo mzee mnamlia vihela vyake tu bure.#MembeForPresidency
#MagufuliMustGo
Zamani labda kabla akijabinafsishwaWenye chama wakiamua jiwe anakaa pembeni.
Hahahahahaha mkuu hao wa kuungana wanatoka wapi?na jamaa alivyo jorowe akiona mnataka kwenda kinyume ni kupigwa karipio kali wanaufyata huwa wanakoroma kwa mafumbo tuWakiungana CCM kwa 100% jamaa anang'oka kwenye kura za maoni na akileta ubabe navyowajua ccm ukienda nao tofauti wanamwaga ugali wanachagua upinzani.
Alishinda mbona , ukitaka kujua alishinda hebu check jamaa alivyokataza mikutano ya siasa gafla baada ya kusikia mamuvi anatembea nichi nzima kutoa shukraniWanamjaza upepo tu kama walivyomwaminisha Lowassa kuwa atakuwa rais matokeo kila mtu anajua
We baki unayoyoma Mbowe, mbowe huku ccm jiwe yafa nawe fuata upepo utachotwa humo humo.Sultani Mbowe kafuta Uchaguzi chadema, hiyo ndo habari ya mujini!
Mnamchokoza bwana mkubwa! Akiwashughulikia msilielie ovyo.[/QUOTE