Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono HOJA jamaa hafai,katika UTAWALA wake Watu wengi WAMETEKWA na KUUAWA DHAHIRI,Yaani Ben Saanane Kichwa Olevo Point 7(AAAAAAA) ,Advance Point 3(AAA),Chuo G.P.A >4.5 na alikuwa anasomea Phd unampoteza kisa kuhoji Phd ya maganda ya Korosho? Lissu ameweka wazi kuhusu kuzuiliwa Bombadier na kushauri mambo ya madini eti anaitwa msaliti waziwazi na mtu anatamka hadharani dawa ya msaliti hatakiwi kusurvive kisha baada ya wiki mtu anapigwa risasi 38,kwani siasa ni uadui? kama hautaki kukosolewa achia ngazi.Kwa Mara ya Kwanza historia inaenda kugeuka,
Mwisho miaka 5 tu.
Magufuli Must Go.
Nimemkumbuka Edgar davisHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Naunga mkono HOJA jamaa hafai,katika UTAWALA wake Watu wengi WAMETEKWA na KUUAWA DHAHIRI,Yaani Ben Saanane Kichwa Olevo Point 7(AAAAAAA) ,Advance Point 3(AAA),Chuo G.P.A >4.5 na alikuwa anasomea Phd unampoteza kisa kuhoji Phd ya maganda ya Korosho? Lissu ameweka wazi kuhusu kuzuiliwa Bombadier na kushari mambo ya madini eti anaitwa msaliti waziwazi na mtu anatamka hadharani dawa ya msaliti hatakiwi kusurvive kisha baada ya wiki mtu anapigwa risasi 38,kwani siasa ni uadui? kama hautaki kukosolewa achia ngazi.
Kila siku unalalamika tu ohoo tulikuwa tunaibiwa na bla bla kibao wakati kwenye awamu hii ndio wizi mkubwa sana unafanyika.
Wewe umechaguliwa na Lubuva lakini dhana ya kuomba uongozi ii uwatumikie wananchi kwahiyo unatakaiwa kufanya mambo yanayomgusa mwananchi,Jiwe alivyoondoa Service charge ya Tanesco kweli amefanya kitu kizuri,nampongeza kwa hilo,Kuondoa road license nalo nampongeza sana.....Atafute washauri wa kiuchumi wamshauri vizuri,achukue ushauri wanaompa kina zitto/upinzani,sio zitto akitaka kufanya press askari wanamzuia huo ni upuuzi.
CCM mshaurini huyo boss wenu afanye mambo yanayom_touch mwananchi moja kwa moja,mambo ya kunua bombadia na kujenga Stiglaz gorge ni Ufisadi tu,fanyeni uwekezaji unaobakisha hela nchini(Zitto akili kubwa ameshauri),sio mnafanya miradi inayopeleka fedha nje....Chuma cha kujenga SGR kingetumika CHuma cha kwetu hapa unafikiri tungetengeneza ajira ngapi? Zitto lishauri sana hili swala lakini mmeliacha ona sasa tumeende kutengeneza ajira nchi za watu.
Tuko tayari kushirikiana na mtu yeyote atakayerahisisha ccm kung'olewa na hasa kabla ya 2020 , korosho oyeeee !!!
Katiba inasema miaka mitano. Hiyo saba labda akatawale kijijini kwenu huko. 2025 mwisho ateuliwe mwingine kama katiba inavyoagiza
Edgar davisHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
unaambiwa hajalala wiki ya pili sasa !koroshooo oyeeee,hata kama hatang'oka sasa hivi picha aka image kaipata LOLS..kuwa u presidency ni wito unatakiwa userve watanzania na sio kuiba matrilion yetu,lol
Mwambie akalime korosho tu urais asahauMembe 2020