Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Ningekuwa CCM ndani ya chama lazima tufanye kura ya maoni tena,maana kichaa alibebwa na jahcarhire,na uhakika ccm wakifanya sawia kwenye kura za maoni JIWE hapiti labda atumie UBABE kama anaotumia sasa kwa kuwapitisha "WATUMWA" kugombea tena kupitia sisiemu baada ya kununuliwa na kuacha uongozi walipotoka UPINZANI.
Huko ccm kuna wa kumkoromea?
 
Ukali,utumbuzi vimeshindwa leta tija,watu wanataka kiongozi anayepambana na maendeleo sio anaepambana na watu Hakuna aliyeweza akafaulu kashindwa Hitler kashindwa ticha zaidi kuukimbiza upepo we live once Dunia inasonga
 
Wakiungana CCM kwa 100% jamaa anang'oka kwenye kura za maoni na akileta ubabe navyowajua ccm ukienda nao tofauti wanamwaga ugali wanachagua upinzani.
Hahahahahaha mkuu hao wa kuungana wanatoka wapi?na jamaa alivyo jorowe akiona mnataka kwenda kinyume ni kupigwa karipio kali wanaufyata huwa wanakoroma kwa mafumbo tu
 
Back
Top Bottom