Namkumbuka yule jamaa wa Uholanzi alikuwa anakula vyenga hatari sana!-Davis...Hujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkumbuka yule jamaa wa Uholanzi alikuwa anakula vyenga hatari sana!-Davis...Hujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
Wamedhamiria tuaieleweHii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.
Kwani anahamia upande wa pili?Membe rais wetu ajae
Kumbe una chuki...!!Kwahiyo mkuu unatushauri tuendelee kutawaliwa na hawahawa ccm?
Jitafakari upya tatizo siyo Magufuli ba li tatizo ni ccm, ukikaa na ukatuliza akili utaelielewa hili vizuri, Magufuli ana kura moja tu hata kama ni ya veto, veto huwa haina nguvu ya kushindana na kura nyingi.
Ccm ni mashetani akiwemo huyo Membe, mateso tunayopitia leo hayaletwa na Magufuli bali ni mashetani wa ccm kuikataa rasimu ya katibsa mpya ya Warioba.
Someni biblia mtaelewa vizuri Mungu aliwachapa Waisrael pale walipokengeuka, na Watanzania wanastahili kuishi maisha magumu ili akili ziwarudie.
Edgar DavisHujawahi kuona mchezaji anacheza na miwani?
bora wao walikula na sisi watumishi tukala kwa kupandishiwa mishahara,seminar, posho na kupandishwa madaraja, wanafunzi wala lamba boom na mikopo,jiwe lakotoka limeingia anaenjoy ni Alhaji DAB na genge lake ambaowanaingiza mizigobandalinibila kudaiwa kodi
AONDOKE, AONDOKE AONDOKE........ARUDISHE NCHI YETU
Wakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
Mkuu hii hint inatia moyo!Mungu ni wa ajabu sana ! anakutia kibri ili aje akuteketeze !
Mtafute Edgar DavisHapana mkuu
Huwa siangalii mipira
hakika tutafika baba, maana hekima zako si haba...
wale walozoea kuiba, milango yao umekaba...
kama taifa sasa tunashiba,
umepunguza walokuwa soba...
magu we ni jemedari,
tena kamanda wa mwamvuli....
wale walokuwa kiburi,
umewanyosha wamekubali....
Magufuri usife moyo,
maendeleo tunayaona...
wale wanaojifanya poyoyo,
kichwani zimechutama...
Siyo Davies ni DavidsSio Davids ni Davies