Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

hakika tutafika baba, maana hekima zako si haba...
wale walozoea kuiba, milango yao umekaba...
kama taifa sasa tunashiba,
umepunguza walokuwa soba...
magu we ni jemedari,
tena kamanda wa mwamvuli....
wale walokuwa kiburi,
umewanyosha wamekubali....
Magufuri usife moyo,
maendeleo tunayaona...
wale wanaojifanya poyoyo,
kichwani zimechutama...
 
Lumumba labda wampitishe jamaa kibabe ila kupita ana kazi ngumu ingawaje sasa wapo kimya na itakua kupelekana jela kwa wale wapinzani wakubwa ndani ya chama kwa makosa madogo madogo na makubwa ili mradi apite tuu...
 
Nimecheka sana....eti 'makamba anazidi value ya mwenyejiti wa sasa'.. hatariii.
 
Kumbe una chuki...!!
 
Jk kaondoka boom ilikua 7500 na baada ya Jpm ni 8500.Unaweza kuja na bajeti ya mikopo elimu ya juu kipind cha jk na jpm?
 
Kamwambia jiwe "mwisho wake ni 2020",
Wakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
 

Una moyo!
 
Sawa tumemuona, ila shida na taabu za kichaa tumeshazizoea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…