Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Katika ya watu wasiofaa kuongoza ni huyu unaempigia debe. Acha kuleta masihala kwenye suala la uongozi wa nchi
 
Mkuu wangu, ukweli ni kwamba JPM alistahili nafasi nyingine zaidi kuliko nafasi ya Urais! Angeweza kufanya vizuri zaidi endapo angekuwa, let's say, Waziri Mkuu ili nafasi ya kufanya maamuzi ya mwisho ikiwa chini ya watu wenye maono, busara na ushawishi wa kimataifa!

JPM is too mechanical! Nina mashaka ikiwa kweli ana uelewa wa kujua taifa linataka nini na kwa wakati gani.

Ni bahati mzuri sana kwake kwamba, ana wafuasi lukuki ambao na wenyewe hawajui taifa linataka nini kwa wakati gani!! Wafuasi hawa ni wale ambao hapo kabla nilipata kuwaelezea kama uwezo wao wa kufikiri upo below the average ingawaje wapo wenye unafuu lakini wameamua tu kujitoa ufahamu for worthless political reasons!

Matokeo yake, wafuasi hawa wamekuwa ndio wapigia makofi na vigelele kwa kila jambo hata yale ya kijinga yanayoweza kubainika hata na mtoto wa darasa la tano kwamba ni ya kijinga!

Kwa sifa hizo hapo juu, utaona ni namna gani JPM alitakiwa kupata mtu wa kumpokea kabla ya 2025 kama hiyo 2025 yenyewe atakuwa tayari kupokelewa!

Back to the subject: 2020 CCM Waende na Bernard Membe?

Hii naona ni kama kujadili uwezekano wa Ziwa Victoria kuwa na iceberg kwa sababu, at least as for now, hilo la Membe for CCM haliwezi kutokea kwa sababu za wazi kabisa unless kama mjadala uwe 2020 Twende na Bernard Membe na kutoa hiyo CCM ambayo, ima fahima, itaendelea na JPM hata kama leo ataamua kuhamishia.
 
Mara paaaaap JPM kahamia CHADEMA [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Siasa kwel SI - HASA
 
Una uhakika na ulisemalo jamaa keshajidhatiti kaweka watu wake watiifu kila kona Mabeyo Sirro hao ni wawili hivi unafikiri Jpm Hajui
Wasaliti huwa hawaishi mkuu na watu wa karibu yako Mara nyingi ndo hukumaliza
 

Watu wanasema twende na Membe, Inside or Outside of CCM.
Sasa tukiangalia hili suala kwa umakini utakuja kujua kwamba watu hawamtaki Membe bali wanataka faida zitakazokuja kutokana na ujio wa Membe kama Raisi wa nchi (Penumbras of Membe's Ascendancy).....


Haya ni baadhi ya mategemeo machache tu:
1. Kuwa na uhuru wa kisiasa ndani ya nchi yao.
2. Kukua kwa uchumi at a Micro-Stage kwasababu ya kufufuka mabenki na sekta binafsi.
3. Kupotea kwa hali ya kuhisi kunyanyaswa na kuonewa ndani ya nchi yao.
4. Kupotea kwa hisia kali za mpasuko mkubwa wa kikanda na kikabila hapa nchini.
5. Kukua kwa kasi kwa uwekezaji nchini Tanza


Membe ni moshi tu ambao unawaka juu ya moto mkali ulijificha chini.........
Raisi Magufuli asipoangalia atakuwa ndiye Raisi mwenye historia mbaya na watanzania kuliko wenzake.
 
Naongezea kutekwa, kupotea kwa watu na operation za kikatiri za MKIRU ndani ya miaka mitatu hii.
 
Munaweza mkawa kweli munampump Membe kujiingiza kwenye haya mambo yenu lakini najua naye ni mtu mzima, anawaza nikishindwa itakuwaje?
 
Asante mkuu mjuaji naona umelipuka kama umetiwa petrol, vijisenti vya kupewa ili uwe mpiga debe vinawatoa akili kabisa mtatahiriwa magovi uzeeni ohooo shauri zenu.
Kumbe wewe huwa unatiwa?Shubaamit mtoto wa watu.
 
Ili kukata mzizi wa fitina usio na jina, nimejitolea kusafiri kutoka hapa Mtwara hadi mkoani Lindi kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Jasusi Mstaafu Benard Camilius Membe kumuuliza bila kumliza. Nimepewa taarifa zenye kila aina ya sifa kuwa kwasasa hupatikana sana kwake Lindi. Pia, nitapitia Mtama kujionea 'maendeleo yasiyo na upendeleo' jimboni humo.

Nikifika kwake nitamuuliza: 'Wana baraka zako?'. Maana wanakutaja kwa haja na tija kila mara kwenye vyombo vya habari. Ghafla bin vuu umeletwa juu. Unasema kuwa ni mbadala wa aliyeko madarakani, tena ni 2020. Wapigachapuo wako wanachagiza habari zako na picha mbalimbali zinazoakisi jinsi walivyokumisi siasani. Nakuja tutete Benard.

Katika siasa, kwa uzoefu wangu wa chamani, Serikalini na kwenye vyombo vyetu, hakuna jambo la kulipuuza. Kila anayetajwa au kila kinachotajwa hupaswa kuchambuliwa na si kupuuziwa. Hupaswa kujadiliwa badala ya kudhihakiwa. Hupaswa kuchujwa badala ya kufujwa. Hupaswa kuzingatiwa badala ya kukataliwa. Benard, nakuja kusikia neon lako.

I hope, our meeting will be a memorable one. Stay tuned!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mtwara kwenye korosho)
 
Nawaonea huru ma mnavyojifariji..

Ugipa nyie endeleeni kujifia tu!
 
CCM si CDM, suala la kupata kiongozi huwa halitupi shida - hata hivyo JPM bado yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…