exit
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 1,670
- 1,808
Hasira nyingi mzee , umekosa mgao wako uliohaidiwa nini? Pole Sana ndio siasa za bongo hizo fix nyingi.
Kakanyagiwe mbali huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakanyagiwe mbali huko.
Ili kukata mzizi wa fitina usio na jina, nimejitolea kusafiri kutoka hapa Mtwara hadi mkoani Lindi kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Jasusi Mstaafu Benard Camilius Membe kumuuliza bila kumliza. Nimepewa taarifa zenye kila aina ya sifa kuwa kwasasa hupatikana sana kwake Lindi. Pia, nitapitia Mtama kujionea 'maendeleo yasiyo na upendeleo' jimboni humo.
Nikifika kwake nitamuuliza: 'Wana baraka zako?'. Maana wanakutaja kwa haja na tija kila mara kwenye vyombo vya habari. Ghafla bin vuu umeletwa juu. Unasema kuwa ni mbadala wa aliyeko madarakani, tena ni 2020. Wapigachapuo wako wanachagiza habari zako na picha mbalimbali zinazoakisi jinsi walivyokumisi siasani. Nakuja tutete Benard.
Katika siasa, kwa uzoefu wangu wa chamani, Serikalini na kwenye vyombo vyetu, hakuna jambo la kulipuuza. Kila anayetajwa au kila kinachotajwa hupaswa kuchambuliwa na si kupuuziwa. Hupaswa kujadiliwa badala ya kudhihakiwa. Hupaswa kuchujwa badala ya kufujwa. Hupaswa kuzingatiwa badala ya kukataliwa. Benard, nakuja kusikia neon lako.
I hope, our meeting will be a memorable one. Stay tuned!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mtwara kwenye korosho)
Dalili za kumuogopa kachero waziwazi kupitia kijipeperushi cha musiba...Hivi Magu kwa nini anamuogopa sana Kachero
katiba IMESEMA WAPI????Rais anaefuata ni muislamu msijisahaulishe jamani. Utaratibu uzingatiwe
CCM si CDM, suala la kupata kiongozi huwa halitupi shida - hata hivyo JPM bado yupo
SAfi kabisa hilo ndilo tunalolitaka wananchi wa kawaida na wale waelewa:Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
Ni membe tuSAfi kabisa hilo ndilo tunalolitaka wananchi wa kawaida na wale waelewa:
1. Kama unataka haki yako itafute sasa kwa ni wanaopenda kudhulumu watu wanataka kufanya yao.
2. Sisi watu wa kawaida tuanfuaraha mno kwani ofisi za serikali zimebadilika ufanisi tunauona. Wale wanaopenda ubosi wakidhani ndio utendaji kazi ndio wanaotaka mabadiliko waendelee kutunyanyasa tume sema no tena Bog no. Na kuwa mnajisumbua sana unless hamuelewi maana ya nguvu ya Umma.
3. Yaani nimtake Rais gani atakayeniletea maji 24 hours per day? nani ? sijaona
4. Nimtake Rais gani mwingine atakayefanya naenda TRA kuchukua pesa nazodaiwa z Property Tax - Tena nisema TRA na km. ningeomba ruhusa ningemtaja hata jina la kijana aliyenihudumia. Dakika 0 nimepata gharama na kuniambia nawza kwenda lipa CRDB au NMB na akasema kama ukipenda unaweza kulipia hapa dakk sifuri nimelipa na kupata risisti. ni nani anataka kunirudisha nyuma kupanga foleni masaaaa kisa nataka kulipia kodi. Na hii ilisababisha wau tusilipe kwa muda mrefu si kwa sababu pesa hatuna ila ni ile adha,
5. Rasi gani atakaetuonyesha kwa vitendo pesa niliyotoa inafanya kazi?
6. Turudi wapi kle ambako watembea kwa miguu walikuwa haweshimiwi. Siku hizi tunavuka Zebra Crossing kwa raha zetu.
7. Wapi unirudisha kule ambako nikikopa nikaweka nyumba dhamana inachukuliwa kinyemela na wajanja wachache hapana. Nguvu ya Umma ipo mtaielewa huo mwaka mnaotaka leta figisufigisu.
8. Katu sirudi nyuma kula ambako watoto wengi wasio na uwezo walikuwa wanankaa majumbani huku watoto wenu wakisoma St. kwa pesa za Ufisadi Big No. Haturudi nyumba tena wala hatugeuki tusuje kuwa chumvi.
9. Wapi turudi kule ambako mtu anakupiga na kusema naweza kukulipa kufidia. No haturudi tena huko>
10. Wapi kule ambako watu wako kwenye taasisi , wanaiba halafu wanawakashfu wenzao kuwa hawana mipangilio ya Maisha , mwe hapana haturudi tena huko.
11. Wapi eti, kule ambako ubaenda Wizara ya Ardhai kila siku njoo kesho njoo kesho dah. Hapana kwa kweli. Tumechoka wenzenu jamani>
SAfi kabisa hilo ndilo tunalolitaka wananchi wa kawaida na wale waelewa:

asije akajidanganya.....hawezi pata kuraWanafanya uhaini mkuu
Ndo hivyo atatoka huku amemwaga mbogaKwa sababu yupo tu akitoka na lake halipo