Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania


Kati ya watu ambao nina Hamu ya kukutana nao kwa Sasa hapa duniani ni ww Mr vuta nikuvute
 
Mzee Mwenzangu Tupatupa; ingenoga zaidi ungeileta hii baada ya kufanya hiyo meeting na mukubwa...sasa umetupa taabu saana ni sawa na mtu mwenye njaa ukampitishia pilau mbele yake !!
 
tujiulize kwann harakati hizi zimeanza baada ya mkwere kutinga ikulu? hamuoni ya kuwa huwenda zinabaraka zote za ikulu?
na wana nzengo ila ni ngoma inayochezeshwa na wana kilinge nasi watanzania tumejikuta tu tunaingia kati na kuanza kusakakata rumba?


ikifika wakati bw camiliuus mwenyew atajiengua na kumwachia mjumbe aliyeshika kiti kwa sasa? hii ndio tunaita mfumo upo kazini na unatenda kazi. kma hujanielewa basi.
 
Kwa kauli hizi za jiwe, 2020 wana ccm twendeni na mwanadiplomasia wa dunia James Bernard Membe ili turudishe hadhi ya chama chetu kuwa ni chama cha siasa siyo chama dola.
 
Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi
SAfi kabisa hilo ndilo tunalolitaka wananchi wa kawaida na wale waelewa:
1. Kama unataka haki yako itafute sasa kwa ni wanaopenda kudhulumu watu wanataka kufanya yao.
2. Sisi watu wa kawaida tuanfuaraha mno kwani ofisi za serikali zimebadilika ufanisi tunauona. Wale wanaopenda ubosi wakidhani ndio utendaji kazi ndio wanaotaka mabadiliko waendelee kutunyanyasa tume sema no tena Bog no. Na kuwa mnajisumbua sana unless hamuelewi maana ya nguvu ya Umma.
3. Yaani nimtake Rais gani atakayeniletea maji 24 hours per day? nani ? sijaona
4. Nimtake Rais gani mwingine atakayefanya naenda TRA kuchukua pesa nazodaiwa z Property Tax - Tena nisema TRA na km. ningeomba ruhusa ningemtaja hata jina la kijana aliyenihudumia. Dakika 0 nimepata gharama na kuniambia nawza kwenda lipa CRDB au NMB na akasema kama ukipenda unaweza kulipia hapa dakk sifuri nimelipa na kupata risisti. ni nani anataka kunirudisha nyuma kupanga foleni masaaaa kisa nataka kulipia kodi. Na hii ilisababisha wau tusilipe kwa muda mrefu si kwa sababu pesa hatuna ila ni ile adha,
5. Rasi gani atakaetuonyesha kwa vitendo pesa niliyotoa inafanya kazi?
6. Turudi wapi kle ambako watembea kwa miguu walikuwa haweshimiwi. Siku hizi tunavuka Zebra Crossing kwa raha zetu.
7. Wapi unirudisha kule ambako nikikopa nikaweka nyumba dhamana inachukuliwa kinyemela na wajanja wachache hapana. Nguvu ya Umma ipo mtaielewa huo mwaka mnaotaka leta figisufigisu.
8. Katu sirudi nyuma kula ambako watoto wengi wasio na uwezo walikuwa wanankaa majumbani huku watoto wenu wakisoma St. kwa pesa za Ufisadi Big No. Haturudi nyumba tena wala hatugeuki tusuje kuwa chumvi.
9. Wapi turudi kule ambako mtu anakupiga na kusema naweza kukulipa kufidia. No haturudi tena huko>
10. Wapi kule ambako watu wako kwenye taasisi , wanaiba halafu wanawakashfu wenzao kuwa hawana mipangilio ya Maisha , mwe hapana haturudi tena huko.
11. Wapi eti, kule ambako ubaenda Wizara ya Ardhai kila siku njoo kesho njoo kesho dah. Hapana kwa kweli. Tumechoka wenzenu jamani>
 
Ni membe tu
 

JPM hafai kufika 2025,inapaswa 2020 afyekelewe mbali!
Hii itawafanya viongozi wawe wanawaheshimu wananchi na si kuwatishatisha !!!
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…