Kumbe Magu amewalipa sio?!!!!!! Aaaaaaa ndio maana UKASUKU mwingi. Kazi kwenu ila sie twataka KATIBA ifatwe baada ya miaka 5 warudi ulingoni wachapane kwani shida iko wapi?sijui huyo membe wenu kawapa sh.ngapi?
Hahahahahahaha, yule Mzee mwoga hawezi kuruhusu Katiba Mpya, yaani sahau kabisa.Kumbe Magu amewalipa sio?!!!!!! Aaaaaaa ndio maana UKASUKU mwingi. Kazi kwenu ila sie twataka KATIBA ifatwe baada ya miaka 5 warudi ulingoni wachapane kwani shida iko wapi?
sio uoga tu, bali hajiamini kabisa/Hahahahahahaha, yule Mzee mwoga hawezi kuruhusu Katiba Mpya, yaani sahau kabisa.
Hili lingefanyika mwaka 2020 hivi nina uhakika yule jamaa angefanya mambo ya ajabu kweli.sio uoga tu, bali hajiamini kabisa/
Darling hiyo sio chura ni hips..
harudi mtu.......T 2020 JPMKumbe Magu amewalipa sio?!!!!!! Aaaaaaa ndio maana UKASUKU mwingi. Kazi kwenu ila sie twataka KATIBA ifatwe baada ya miaka 5 warudi ulingoni wachapane kwani shida iko wapi?
Tunaweza kusikia membe haonekani na hajulikani alipo, jamaa muoga sana.Hili lingefanyika mwaka 2020 hivi nina uhakika yule jamaa angefanya mambo ya ajabu kweli.
Hahahahaha, what a president.
ww jamaa mbona unatuchosha hv...Tunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi