Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
wastaafu wote wako nyuma yake , wamechoka kutukanwa .
 
Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'

What if ni kwa manufaa mapana ya nchi?Umeonesha upande wako
 
Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
Mtanzania yoyote anayo haki kugombea urais mradi atimize matakwa ya kisheria.
Pia mtanzania yeyote anayo haki ya kuchagua rais, wewe si kipimo cha ubora wa rais.
 
Haya mambo yamepamba moto iwe kweli tu jamani kwa membe
 
Majukumu aliyonayo rais ni makubwa mengi na yanachosha akili na mwili pia, Jana rais mwenyewe amekiri uzito wa kazi aliyonayo kiasi kwamba alisema, ukiingia chumbani mwake utashangaa kuona mafaili yamejaa hadi kitandani, kukiri kwake huko ni sawa na kutoa rai kwetu tumsaidie.

Nafikiri sasa ni muda mwafaka kabisa kwa CCM kumsaidia rais kwa kutenganisha kofia mbili ya urais na uenyekiti isivaliwe na mtu mmoja, rais abaki kuwa rais akitekeleza majukumu ya urais ambayo ni mengi full-time job, na mwenyekiti wa chama abaki kuwa mwenyekiti. Pamoja na kumsaidia rais itaondoa mwingiliano wa majukumu kiutendaji, leo rais akizungumza huwezi kujua kazungumza kama rais au mwenyekiti wa CCM.

Hili wazo sii geni, mabadiliko haya yameshaanza ndani ya chama kwa baadhi ya ngazi za chama, baada ya mwenyekiti wa CCM Iringa Albert Chalamila kuteuliwa kuwa RC Mbeya aliambiwa achague moja kuendelea kuwa mkiti au mkuu wa mkoa, kwanini ishindikane kwa ngazi ya taifa.

Baada ya kutenganisha 'rasmi' kwa maana ya kubadili baadhi ya vifungu vya katiba ya chama, mwanachama yeyote aruhusiwe kugombea uenyekiti, tofauti na sasa ambapo wanachama wa kawaida haruhudiwi kugombea uenyekiti hadi awe rais.

Mawazo Yangu.
 
Peleka maoni yako CDM kuweka kikomo cha Mwenyekiti wetu!
 
Mbona mnahangaika sana. Rais na mwenyekiti anawasaidizi wake ambao ni makamu na katibu mkuu mtendaji.

Halaf huyu Membe mbona yupo sana kichwani mwenu na mnataka sana arudi kwenye mfumo? Ana nini alichowaahidi kuwapatia, rasilimali za nchi au. Sasa kwa taarifa yenu kofia hazitatengwa na mtamwota Membe maisha yenu yote ndoto haitakaa itokee.
 
Majukumu aliyonayo rais ni makubwa mengi na yanachosha akili na mwili pia, Jana rais mwenyewe amekiri uzito wa kazi aliyonayo kiasi kwamba alisema, ukiingia chumbani mwake utashangaa kuona mafaili yamejaa hadi kitandani, kukiri kwake huko ni sawa na kutoa rai kwetu tumsaidie.

Nafikiri sasa ni muda mwafaka kabisa kwa CCM kumsaidia rais kwa kutenganisha kofia mbili ya urais na uenyekiti isivaliwe na mtu mmoja, rais abaki kuwa rais akitekeleza majukumu ya urais ambayo ni mengi full-time job, na mwenyekiti wa chama abaki kuwa mwenyekiti. Pamoja na kumsaidia rais itaondoa mwingiliano wa majukumu kiutendaji, leo rais akizungumza huwezi kujua kazungumza kama rais au mwenyekiti wa CCM.

Hili wazo sii geni, mabadiliko haya yameshaanza ndani ya chama kwa baadhi ya ngazi za chama, baada ya mwenyekiti wa CCM Iringa Albert Chalamila kuteuliwa kuwa RC Mbeya aliambiwa achague moja kuendelea kuwa mkiti au mkuu wa mkoa, kwanini ishindikane kwa ngazi ya taifa.

Baada ya kutenganisha 'rasmi' kwa maana ya kubadili baadhi ya vifungu vya katiba ya chama, mwanachama yeyote aruhusiwe kugombea uenyekiti, tofauti na sasa ambapo wanachama wa kawaida haruhudiwi kugombea uenyekiti hadi awe rais.

Mawazo Yangu.
Kwani huyu membe kawapa nini? mi mbona namuona kama mtu wa kawaida tena miongoni mwa watu wachache waliosababisha tz iwe hapa tulipo, alikua anashinda hewani kwa kodi zetu, na nyienyie mlikua mnauponda uongozi wake na jk kwa ujumla kua kati mwaka siku nyingi kawa njee sana kuliko nyumbani, sasa hivi kawapa nini
 
Pale CHADEMA wanapokesha wanaiombea mazuri CCM, Membe atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo, baada ya kugundua zile kelele zenu za Membe kuwa raisi 2020 haziwezekani umerudi kivingine?,endelea kuota.
 
Majukumu aliyonayo rais ni makubwa mengi na yanachosha akili na mwili pia, Jana rais mwenyewe amekiri uzito wa kazi aliyonayo kiasi kwamba alisema, ukiingia chumbani mwake utashangaa kuona mafaili yamejaa hadi kitandani, kukiri kwake huko ni sawa na kutoa rai kwetu tumsaidie.

Nafikiri sasa ni muda mwafaka kabisa kwa CCM kumsaidia rais kwa kutenganisha kofia mbili ya urais na uenyekiti isivaliwe na mtu mmoja, rais abaki kuwa rais akitekeleza majukumu ya urais ambayo ni mengi full-time job, na mwenyekiti wa chama abaki kuwa mwenyekiti. Pamoja na kumsaidia rais itaondoa mwingiliano wa majukumu kiutendaji, leo rais akizungumza huwezi kujua kazungumza kama rais au mwenyekiti wa CCM.

Hili wazo sii geni, mabadiliko haya yameshaanza ndani ya chama kwa baadhi ya ngazi za chama, baada ya mwenyekiti wa CCM Iringa Albert Chalamila kuteuliwa kuwa RC Mbeya aliambiwa achague moja kuendelea kuwa mkiti au mkuu wa mkoa, kwanini ishindikane kwa ngazi ya taifa.

Baada ya kutenganisha 'rasmi' kwa maana ya kubadili baadhi ya vifungu vya katiba ya chama, mwanachama yeyote aruhusiwe kugombea uenyekiti, tofauti na sasa ambapo wanachama wa kawaida haruhudiwi kugombea uenyekiti hadi awe rais.

Mawazo Yangu.

Why Membe and not few others who contested in the 2015 general elections ?!
 
Mbona mnahangaika sana. Rais na mwenyekiti anawasaidizi wake ambao ni makamu na katibu mkuu mtendaji.
Unafikiri rais hajui kuwa makamu na katibu wapo, kuna majukumu ambayo yanahitaji kufanywa na rais mwenyewe hata yeye kasema lazima ayafanye yeye binafsi.
 
Huyo membe naona ndiyo anakufikisha kileleni kweli kweli ,haipiti dakika 5 umeshashusha uzi wa membe.
 
Back
Top Bottom