Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwani huyo unayemtaka wewe ni kwa faida ya nani?
sijui kwako lakin, mm sijaona hii kama ni kawaida inakuaje mtu anapigiwa kampeni ya kuwa raisi wakati kama huu ambao ni mgumu kwake kuliko kipindi kile
 
Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
Hamna kikundi..watu wanapima tu upepo mitandaoni
 
Ni presidential candidate wa Upinzani ifikapo 2020 endapo Zitto hatoeleweka..
 
Watalam wa waswala ya siasa naomba ufafanuzi kwenye hili, imekuaje bernard membe amepata support kubwa hivi ya kumpandisha kwenye kiti cha uraisi 2020 kuliko 2015 ambapo ndo ingekua njia nyepesi ya kuupata??
Je? kutakuana watu, kikundi cha watu kinampigia debe awe aje kua raisi kwa manufaa yao?
Huu mtafaruku ni ndani ya CCM yenyewe au unatoka nje ya Ccm?'
Kikundi cha wananchi..!
 
Teh kwani nani yupo nyuma ya huyu ?
Screenshot_20181101-155345_1.jpg
 
Kamwambie jiwe na wanalumumba wote kuwa Membe hajatuma kikundi chochote, sisi wananchi wa kawaida ndio tupo nyuma ya Membe. Na tutaendelea kuwatia joto kama nyie mnavyokandamiza. Mtamtuma Musiba atawatuhumu mpaka bibi na babu zenu. Ila ukweli utabaki pale pale Membe hajatuma mtu.

Wanancho wakiochoka na unafiki wenu ndio wanamtaka Membe. Atleast kuliko huyu jamaa yenu anaonge hiki anafanya kingine.

Kam mnampenda sana mtaenda kunywa naye chai tukishageuza meza pale chamwino na kumuweka Membe kidedea.

Hakuna mtakachofanya zaidi ya kutokwa na macho, nakuhakikishia mawaziri wote wapo nyuma ya Membe. Yani mpo wenyewe na bashite basi.
 
Back
Top Bottom