Leo hujaja na vitisho vyako eti unanifuatilia, Hahaa,Pale CHADEMA wanapokesha wanaiombea mazuri CCM, Membe atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo, baada ya kugundua zile kelele zenu za Membe kuwa raisi 2020 haziwezekani umerudi kivingine?,endelea kuota.
Tatizo la kofia mbili ndilo hilo huwezi kujua namshauri nani, mimi ni mwananchi niko huru kutoa ushauri kwa rais ambaye ni mkiti wa CCM.