Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Pale CHADEMA wanapokesha wanaiombea mazuri CCM, Membe atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo, baada ya kugundua zile kelele zenu za Membe kuwa raisi 2020 haziwezekani umerudi kivingine?,endelea kuota.
Leo hujaja na vitisho vyako eti unanifuatilia, Hahaa,

Tatizo la kofia mbili ndilo hilo huwezi kujua namshauri nani, mimi ni mwananchi niko huru kutoa ushauri kwa rais ambaye ni mkiti wa CCM.
 
They are already dead

Dead???!! Who are these???!!! You mean physical or political death?? Because we still have many others who are live...Makamba, that lady who is now an ambassador and few others
 
Kwani huyu membe kawapa nini? mi mbona namuona kama mtu wa kawaida tena miongoni mwa watu wachache waliosababisha tz iwe hapa tulipo, alikua anashinda hewani kwa kodi zetu, na nyienyie mlikua mnauponda uongozi wake na jk kwa ujumla kua kati mwaka siku nyingi kawa njee sana kuliko nyumbani, sasa hivi kawapa nini
Kila mtu na maoni yake ulitaka nimtaje nani sasa kwa mfano.
 
Sio bure membe atakuwa ameshamwaga sukari guru(pesa) mtaani sio kwa kupigiwa promo hivi kila kukicha!
 
Kofia Mbili ndio mchawi wetu zitenganishwe ili kila mmoja aweze kumdhibiti mwenzake.Wasio sifa wanaweza tumia mwanya huo kuwaumixa wengine
 
Dead???!! Who are these???!!! You mean physical or political death?? Because we still have many others who are live...Makamba, that lady who is now an ambassador and few others
Choose the best....

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
 
Choose the best....

1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.

12. 1954....tehtehtehtehtehteh Am I not a presidential material ?....tehtehtehteh...(a joke please )
 
"Slendi" za Membe zimetosha sasa. Kama unampenda sana kamchukue ukanywe naye chai.
 
Wakifanya hivyo mbona hapatatosha, nawaambia patachimbika, na tena kitanuka kwelikweli.
 
Leo hujaja na vitisho vyako eti unanifuatilia, Hahaa,

Tatizo la kofia mbili ndilo hilo huwezi kujua namshauri nani, mimi ni mwananchi niko huru kutoa ushauri kwa rais ambaye ni mkiti wa CCM.
Mbowe ana kofia tatu ni mbunge,kiongozi wa upinzani bungeni Na mwenyekiti wa Chadema Taifa.Mwambie avue kofia ya uenyekiti abaki Na ubunge
 
Wakuu Salaam.

Kiongozi yeyote ktk kuhakikisha mambo yake yanaenda vizuri huwa ni lazima ahakikishe ktk safu yake ya maamuzi na utendaji kwa asilimia zaidi ya 90 ana watu ambao ni watiifu kwake na wako tayari kuyabeba mawazo na maono yake siku zote.

Kwa muktadha huo huo ni imani yangu kuwa hata ndani ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Mh. Rais Magufuli hali ni hiyo hiyo na ni vigumu sana kuwa na agenda inayotishia ustawi wa Mwenyekiti halafu utegemee agenda hiyo ikapita, hilo haliwezekani.

Kwa siku za karibuni wako watu wenye ndoto ya kutaka kuona Mstaafu B. Membe akishika hatamu ya uongozi wa nchi hii mwaka 2020 kwa tiketi ya CCM, kwa kujiaminisha kuwa eti wanaweza fanikisha uasi dhidi ya mwenyekiti wao, hili jambo haliwezi kufanikiwa na si ajabu baadhi ya watu wakapigwa permanent ban ktk chama.

Hivi kwa nini wasiwe majasiri na watoke ndani ya CCM na kuanzisha chama chao ili waweze kumsimamisha mgombea wanayemtaka na ambaye wanaamini watanzania watampokea na kumpa nafasi ya kuongoza, mbona majirani zetu kenya walifanya hivyo na baadhi yao wakafanikiwa yuko Rais Mstaafu Mwai Kibaki, Rais wa sasa Uhuru, William Ruto na R. Odinga anayeendelea kupambana.

Tofauti na hapo hizi blah blah za mitandaoni hazitasaidia chochote na mabadiliko pekee ya 2020 Inshallah Mungu akituweka hai ni Dr. Hussein Ally Hassan Mwinyi atakayeshika hatamu Zanzibar huku JPM na Mama Samia ngoma inogile.
 
Kwa nini JIWE asitoke akaanzishe chama chake kama kweli yeye ni bora kama mnavyo mdanganya? Huu ndio wakati wake sasa wa kujinasibu ubora wake aache chama cha Nyerer akaanzishe cha kwake yeye si anajinasibu kuwa ni baada ya Nyerere? Hii ccm aachie kina Membe wasio na NGUVU.
 
sijui huyo membe wenu kawapa sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom