Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Ninasema tena...mwacheni baba Jesca aongoze nchi jamani.. Nchi ipo kwenye mikono salama ya jembe letu mpaka 2025...tukifika 2024, Membe, team wama, baba moko,nape,kinan karibuni uwanjani na striker wetu wa kuaminiwa si mwingine ni jasusi wa kutukuka Camilus Membe...
 
Membe hatofanya miujiza maana CCM ni walewale..
ila yafuatayo;
1-Utekaji wa raia utapungua
2-Viongozi kuwatukana wananchi kutapungua
3-Ukanda, udini na ukabila utapungua
4-Watumishi kunyimwa haki zao kutapungua
5-Kesi za kipumbavu za kubambikiziana zitapungua
6-Sheria zitakazopitishwa hazitobeba hisia za mtu mmoja pekee kwa maslahi binafsi
7-Viongozi wenye phd kuacha facts na kutoa mipasho ya taarabu kutapungua
8-Viongozi wa kitaifa hawatowakimbia wananchi kwenye misiba
9-Kuhonga kodi ili uungwe mkono kutapungua
10-Ajira zitaongezeka
11-Askari wa Rwanda nchini watapungua
12-Mtanzania atakuwa na thamani zaidi kuliko mbwa wa polisi
13-Biashara zitakuwa maana unyonyaji utapungua
14-teuzi zitapungua
15-data za kupika zitapungua
16-kukurupuka kutapungua
17-hazina itaangaliwa na wale wote wenye mamlaka kisheria na sio mtu na mpwa wake pekee
18-watu watakuwa huru kufanya siasa, kutoa maoni
19-nchi itakuwa na jembe la uwakilishi nje ya nchi, haitakuwa tena tanzania ya kukimbiakimbia vikao vya wakuu wa nchi
20-njaa itapungua na furaha itaongezeka..
21-mawazo ya wasomi yatapewa nafasi yake
 
Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Hahahaha
Visingeli leo vingi humu ndani walahi
Khanga zimewapendeza walahi
Majitu mizima ovyo kabisa walahi
 
Back
Top Bottom