Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Wao wanataka agombee huku.Kwani Marekani hawana uchaguzi ili akagombee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanataka agombee huku.Kwani Marekani hawana uchaguzi ili akagombee?
Hivi ili gazeti ni la nani?
Hivi ili gazeti ni la nani?
Una jeuri ya kumfungia nani wapi wewe? Usiwe mropokaji! Na siyo kwamba sikuelewa jibu, ni kwamba huelewi au hujui kujibu unachoulizwa. Kuelewa unachoulizwa ni nusu ya jibu.
Makosa makubwa waliyofanya ccm ni kumpa jiwe uenyekiti wa chama.
Jk alipaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa ccm then kamati kuu ingekuwa ina uwezo na nguvu za kumuita Rais kumuhoji
Chadrama wote wamehamia CCM WALAHIHuyu jamaa mbona anapata Kick sana Jf
KATIKA JIWE HILI NITALIJENGA KANISA NA MALANGO YA KUZIMU HAYATA LIWEZA JIWE HILI WALAHIMakosa makubwa waliyofanya ccm ni kumpa jiwe uenyekiti wa chama.
Jk alipaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa ccm then kamati kuu ingekuwa ina uwezo na nguvu za kumuita Rais kumuhoji
Makosa makubwa waliyofanya ccm ni kumpa jiwe uenyekiti wa chama.
Jk alipaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa ccm then kamati kuu ingekuwa ina uwezo na nguvu za kumuita Rais kumuhoji
SIWATAKI WANA WENYE LAANA WALAHI
Hahahaaaa tulia dawa ikuingieni........Bavicha wamehamia Kwa Membe