mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Ndoto za mchana kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokukubalika na nani?1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
Ni lini Tanzania haikuwa na uhusiano kimataifa?3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa
Kwani kwa sasa kuna katiba ya wapi?4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania)
Mtangoja sana walahiCcm vipande vipande
1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
Fact walahiHuna hoja wewe...
Kutokukubalika na nani?
Ni lini Tanzania haikuwa na uhusiano kimataifa?
Kwani kwa sasa kuna katiba ya wapi?
CCM NI YA MILELE WALAHIWallahi[emoji23][emoji23]
Kila anayemtoa Membe kwenye reli, point kubwa ni 'vitisho'. Linganisheni qualities za hawa wawili kwa hoja na sio vitisho vingiiiiii hivi...Ndio maana kwa mawazo haya ya upinzani, CCM kuitoa madarakani itakua sio mchezo rahisi.
Magu ndiye Mwenyekiti wa CCM,Amiri jeshi mkuu,"sponsor mkuu",Anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi etc na kwa mujibu wa katiba hii ya sasa he's the most powerful man in the country.
Sasa huyo Membe unayemsema sijui ana nini cha kumfanya awe powerful kiasi cha kumteteresha Magu?usije ukaanza kusema ooh sijui ni "spy master" maana ndio story zenu za gahawa.
Simtetei Magu lkn huo ndio ukweli na sanasana hizi thread zinampa Membe tabu sana huko aliko,2020 tuombe uzima hakuna wa kum challenge Magu sanasana tuwaze 2025 kama atakubali kutoka madarakani.
Membe ana quality gani?Hebu ziandike hapa?Kila anayemtoa Membe kwenye reli, point kubwa ni 'vitisho'. Linganisheni qualities za hawa wawili kwa hoja na sio vitisho vingiiiiii hivi...