Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
He naati ndi niimweneHahahaaa!!!
Umalile ghwa myetu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He naati ndi niimweneHahahaaa!!!
Umalile ghwa myetu!!!
Ndiyo maana nimekuuliza wewe unamjuajeNiulize mimi.
Asante, Umenisaidia kumuuliza.Sasa wewe ambaye bakuli lako limefungwa unajua nini kwenye siasa?
Ufipa ni makao ya pono!Kinachofanyika sasa hivi nikuchochea issue ya membe, ionekane ni big deal wamesahau M/kiti yupo ndani
Mimi kama ni kusaidiwa, Nitajisaidia mimi mwenyewe.Kwahiyo ni nani atakayekusaidia wewe?
Mimi naamini hakuna binadamu asiye mbinafsi, Bashiru anaonekana kwa SABABU YA nafasi yake.jichunguzeBashiru ana mihemko, anahisi nafasi yake iko matatani. Unafanya mchezo na mshahara wa milioni 10, nyumba, usafiri ada za watoto, matibabu na mengi kama hayo. Unafikiria anatamani kurudi kwenye miti mingi pale mlimani, pasipo na heshima yoyote? Muache aendelee kulinda maslahi yake binafsi. Ila iko siku atakumbuka kuwa mchezo anaoucheze ni hatari kwake binafsi na hao wanaomtuma.
Ugomvi ukitokea Kati ya watawala na walioonja utawala si ugonvi wa kuuchekelea, maana kitakachotokea kila mtu atajuta. NI wakati wa kuiweka nchi kwenye MAOMBI si wakati wa USHABIKI. Hapa Ndipo inapohitaji hekima na akili. USHABIKI wenu usituangamize.
Hana kwasababu yeye ni Mjamaa na anauishi kwa vitendoBashiru amesema hana akaunti twitter, facebook wala wapi. Hiyo tweet imetoka wapi.
Ko unajifanya hujui kama 2015 bao LA mkono ndo liliwabeba?Baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), bashiru Ally kumtaka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mtama na Waziri wa Mambo ya nchi za nje, Benard Membe kwenda ofisini kwake kujibu tuhuma dhidi yake za kuanza Kampeni za kuwania urais 2020, Mwanasiasa huyo Mkongwe na anayesemekana kuitumikia taasisi nyeti ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania akiwa nje ya nchi aliitikia wito wa Dkt. Bashiru lakini akalalamikia utaratibu uliotumika kumuita huku akimtupia lawama mwanaharakati huru Cipryan Musiba kuwa ndiye aliyezusha madai kuwa anajiandaa na urais 2020.
Hata hazijapita siku mbili tangu KM kumtaka Membe aende ofisini kwake na Membe kuitikia wito, wamejitokeza marafiki zake wa.muda mfupi kurusha picha wakiwa naye na maneno ya hapa na pale kutaka kuuonesha Umma kuwa Membe ndiye na Wako na Membe na kamwe hawatamwangusha. Wanaahidi kula naye bata. Watu hawa ndiyo walewale ambao wamediriki hata kuhujumu jitihada za Serikali ya awamu ya tano katika kuleta maendeleo, Kupambana na ufisadi na kutetea rasilimali za Taifa. Mbaya kabisa watu hawa wanaweka picha wakiwa na Membe na wazungu ambao uvibaraka wao kwao katika kulihujumu taifa ndiyo kwanza umepamba moto. Wameshindwa hata kuficha hisia zao na kumfichia siri mbobezi wao kama wanavyomuita. Kwanini Watanzania tusiamini alichokisema KM B. Ally? Kwanini Watanzania tusiamini mbobezi wao yuko nyuma ya ukibaraka wao ili wampigie debe kuelekea 2020?
Niwakumbushe akina Zitto, Lema, Jusa, Yeriko Nyerere na weingine ambao leo ndiyo wamjazao upepo mbobezi wao kwamba, 2015 Membe na Lowassa waliingia tano bora kwenye kutafuta ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM lakini kukatwa kwa Membe haikuwa habari ya mjini bali kukatwa kwa Lowassa. Maana yake ni nini? Kama umaarufu wa kisiasa ungekuwa unaonekana na ukapinwa kwa urefu, basi Membe hamfikii Lowassa hata kwenye magoti. Lowassa alikatwa, akahamia Upinzani kwa mbwembwe, akateuliwa kugombea urais akakosa , hadithi ikaishia hapo na maisha yakaendeleo. Leo Lowassa anaonekana msaliti tena kwa Chadema kwa sababu tu ya kutaka angalau aonekane anazungumza na Mkuu wa nchi ikulu. Membe ni nani? Atakatwa, atahamia CHADEMA au ACT, mnajua hatakuwa na. Madhara yoyote kama ilivyotarajiwa kwa Lowassa, angalau Lowassa alifurukuta. Endeleeni kumjaza upepo bila shaka na nyie mmepata pa kupumulia baada ya kukosa hoja za kushindana na Serikai ya awamu ya tano, Serikali ya wanyonge, Serikali ya SGR, serikali ya stieglers Gorge, Serikai ya Madege, Serikali ya elimu bure, Serikali ya Maji kwa kila Mtanzania, Serikali ya Umeme nchi nzima, Serikali ya Barabara za juu na chini, Serikali inayowajali Wamachinga, Serikali ibayowatetea Wakulima wake waoate bei bzuri yq mazao yao, Serikali inayolinda rasilimali za nchi, Serikali inayopinga kwa nguvu zote Ushoga.
Aidha nimtahadharishe Membe. Apime uwezo wake na uwezo wa Lowassa kisiasa. Hawa wanaomjaza upepo leo ndiyo waliouanika ufisadi wa Lowasaa wakamuita kila aina ya jina mara Paka shume, mara Fisadi, mara jizi, ndiyo hao hao 2015 waliosema CCM haina uwezo wa kumkata Lowassa, Akakatwa akahamia. Kwao wakiamini sasa Upinzani unaingia ikulu kupitia yeye. CCM siyo Chama cha Mwenyekiti wa kudumu, CCM siyo chama. Cha Kiongozi wa Chama (Yule mwenyekiti alipoteuliwa kuwa RC basi Kiongozi wa Chama akavaa kofia zote, Chama kimebaki kuwa mali yake ). Lakini hata hivyo tangu lini Zitto, Lema, Yeriko Nyerere, Jusa na Upinzani kwa ujumla wao wakawa marafiki wa Membe? Lini? Labda mwenye kumbukumbu atuje.
CCM ni Taasisi, Lowassa alkatwa, Membe atakatwa na yeyote anayedhani anaweza kuwa juu ya CCM atakatwa tu na atang'ong'wa na hao anaodhani wanampenda kumbe wanatafuta pa kupumulia baada ya kufilisika kisiasa.
Labda tofauti ya hawa watu kwa Membe na Lowassa ni kwamba Lowassa walimtukana kwanza kabla ya kimtumia na sasa wanamuona mzigo, Kwa.Membe wameanza na kumpenda ili baadaye wamtumie na mwisho wake watamtukana na watamalizia na kumuona mzigo. Yote kwa yote hakuna atakayenufaika na kiki hizi, Siyo Membe, siyo Wapinzani wanaomtumia. Ni kama ilivyokuwa kwa Lowassa.
Nawasilisha