Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Benard Membe
Benjamin Mkapa.
What a coincidence ....
Benjamin Mkapa.
What a coincidence ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntwara kucheleBenard Membe
Benjamin Mkapa.
What a coincidence ....
Ntwara Oyeeeee Kucheleeeeee!!!! 2020 Atosha.
Jiwe hana chake 2020....Kachero Mbobezi atosha.Duh.......
Mnataka kumwua Jiwe kwa presha??
Sky nakupendaje??? Au nitumie tu nlale nayo ntakurudishia kesho
Hii picha ina script si kama yale matamko ya ki bashite bashite.Hapo ndipo tutacheza ngoma ya kisukuma jiwe hawezi kukubali hilo yale maneno yanayosemekana yeye ni dikteta yatadhihirika rasmi.
Hata lingekuwa fagio mradi si jiwe lira pata support ya upinzaniKwa hiyo upinzani tunasupport ccm kupitia Maembe, ccm wote mama mmoja baba mmoja tofauti yao majina tu.
2020 ntiti Bernad MembeBM wa Ntwala anakubalika na wantu ntiti! Ukienda Kila sehem watu ntiti
BM anatokea mkoa wa LindiBM wa Ntwala anakubalika na wantu ntiti! Ukienda Kila sehem watu ntiti
Huku bara si tunajuaga yote ni Ntwara tuuBM anatokea mkoa wa Lindi
2020 twende na Membejimbo la mtama liko lindi sio mtwara...Tanapa tunaomba mje mchukue rasilimali zenu