Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hongera kwa bandiko zuri lakin tambua ustarabu na utashi wa chama tunaachiana miaka 10 hiyo ndo jadi yetu ko mtu wako angoje 2025 kama umri utamruhusu. ....

Ingawa ni mtu muhimu sana katika nchi ambae ameachwa nje ya ulingo rais magufuli inatakiwa alitambue hilo
 
hakuna upinzani Tanzania. CCM inajisimamia yenyewe.

Hao mnaowaita ni wapinzani siyo kweli. Ni wasindikizaji tuu.

Mwenye dhamana ya kuongoza Tanzania na kubadili viongozi ni CCM tu maana huko ndipo kwenye wazalendo wa kweli
 
Mwaka 2015 , Tanzania ilikuwa na uchaguzi mkuu wa madiwani, ubunge na urais.

Nitajikita zaidi kuzungumzia chama cha Mapinduz, chama tawala kwa zaidi ya miaka 23, kimekuwa kikishika dola na kupata nafasi ya kuunda serikali,

Niweke wazi mapema, mimi ni mwanachama wa chama cha CHAUMA.

Mwaka 2015 katika mchakato wao wa kupata mgombea wa urais kupitia chama chao hicho, kulikuwa na mtifuano na mnyukano wa hali ya juu sana hasa kwa watu wawili waliojiandaa kikamilifu kuwa rais wa Tanzania, Benard Kamilius Membe na Edward Ngoyai Lowasa.

Hawa watu wawili walijiandaa kushika nafasi hiyo kubwa kabisa ya uongozi wa nchi, Kwa bahati mbaya na sababu wazijuazo ccm wakampitisha Dr John Magufuli kuwa mgombea wao , ambae pia ndiye rais wetu kwa sasa.

Kwa hakika katika kosa tulilofanya Watanzania mwaka 2015 ni kumchagua mtu kuwa rais wetu ambaye hakujiandaa kuwa rais, sideeffects zake ndizo hizi tunazohangaika nazo leo na kwa sasa kila.mtu analia kama sio kwa sauti basi analilia tumboni.

Kwa sasa tuna rais ( Waziri wa ujenzi na miondombinu) ambaye ameshindwa kutuongoza na tayari watanzania wengi wamelitambua hilo, miaka 3 tu ya utawala wake, tayari tumeanza kuwaza replacement yake 2020 tofauti kabisa na awamu zilizopita.

Katika wale wawili wa 2015 waliokuwa wamejiandaa kushika nafasi ya urais, ni mmoja ambaye bado yupo na sifa zaidi ya kushika nafasi ya urais 2020 na kutuvusha Watanzania, huyu ni Bernard Kamilius Membe.

Watanzania, tuna miaka 2 ya kujipima na kutafakari na kuamua ma hatimae 2020 tufanye maamuzi sahihi , tusifanye makosa tena ya 2015.

Ni mimi Mwl Ukweli kutoka Ushetu.
Magufuli atakuja kubadilika na kuwa rais mzuri sanaa TRUST ME
 
Mleta mada usiwe na wasiwasi wala hofu, Jiwe mwaka 2020 ndiyo byebye, yeye mwenyewe atashangaa tu hatoamini kilichotokea pale atakaposhuhudia Kamilius anaapishwa kuwa raisi hapo November 2020.

Cha msingi Membe aendelee kuutaka tu huo uraisi!
 
yani nyie vijana mnahangaika sana

mtoa mada mwenyewe ndo huyu

Mwl Ukweli

New Member
Joined Dec 21, 2018

sijui habari za JF kazisika wapi kakurupuka kuja kuandika pumba zake.

jiandaeni kisaikolojia JPM ni Rais wa Tanzania mpaka 2025 na akimaliza kutamlilia machozi aendelee kusukuma gurudumu mbele mpaka nchi ikae sawa.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wetu.
 
hakuna upinzani Tanzania. CCM inajisimamia yenyewe.

Hao mnaowaita ni wapinzani siyo kweli. Ni wasindikizaji tuu.

Mwenye dhamana ya kuongoza Tanzania na kubadili viongozi ni CCM tu maana huko ndipo kwenye wazalendo wa kweli
hata mwenyekiti(mzee wa FlyToKia) ni kada mtiifu wa CCM.
 
Mwaka 2015 , Tanzania ilikuwa na uchaguzi mkuu wa madiwani, ubunge na urais.

Nitajikita zaidi kuzungumzia chama cha Mapinduz, chama tawala kwa zaidi ya miaka 23, kimekuwa kikishika dola na kupata nafasi ya kuunda serikali,

Niweke wazi mapema, mimi ni mwanachama wa chama cha CHAUMA.

Mwaka 2015 katika mchakato wao wa kupata mgombea wa urais kupitia chama chao hicho, kulikuwa na mtifuano na mnyukano wa hali ya juu sana hasa kwa watu wawili waliojiandaa kikamilifu kuwa rais wa Tanzania, Benard Kamilius Membe na Edward Ngoyai Lowasa.

Hawa watu wawili walijiandaa kushika nafasi hiyo kubwa kabisa ya uongozi wa nchi, Kwa bahati mbaya na sababu wazijuazo ccm wakampitisha Dr John Magufuli kuwa mgombea wao , ambae pia ndiye rais wetu kwa sasa.

Kwa hakika katika kosa tulilofanya Watanzania mwaka 2015 ni kumchagua mtu kuwa rais wetu ambaye hakujiandaa kuwa rais, sideeffects zake ndizo hizi tunazohangaika nazo leo na kwa sasa kila.mtu analia kama sio kwa sauti basi analilia tumboni.

Kwa sasa tuna rais ( Waziri wa ujenzi na miondombinu) ambaye ameshindwa kutuongoza na tayari watanzania wengi wamelitambua hilo, miaka 3 tu ya utawala wake, tayari tumeanza kuwaza replacement yake 2020 tofauti kabisa na awamu zilizopita.

Katika wale wawili wa 2015 waliokuwa wamejiandaa kushika nafasi ya urais, ni mmoja ambaye bado yupo na sifa zaidi ya kushika nafasi ya urais 2020 na kutuvusha Watanzania, huyu ni Bernard Kamilius Membe.

Watanzania, tuna miaka 2 ya kujipima na kutafakari na kuamua ma hatimae 2020 tufanye maamuzi sahihi , tusifanye makosa tena ya 2015.

Ni mimi Mwl Ukweli kutoka Ushetu.

Benard Membe akiwa Rais nitakuwa Mtanzania wa Kwanza kuanzisha Kikundi cha ' Waasi ' nchini na najua kwa ' mikakati ' itakayokuwepo na nitakayoiweka hatoweza Kuongoza / Kutawala na badala yake atakimbia nchi mwenyewe. Namkubali na namheshimu hasa katika nafasi zingine za Uongozi au za Kichama ila kwa nafasi ya Urais hafai kabisa na acheni Kumjambisha ( Kumpandisha Mzuka ) kwani hakuna ambacho atafanikiwa nacho.
 
aliekutuma mwambie hujatukuta na tunakwenda kumchagua tena JPM2020.
 
Mchukuweni CHAUMA awe mgombea wenu !
 
MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020
 
Upinzani wa tz pumba sana, wapinzani wote wanataka ccm itoke madarakani wakati huo huo wanataka mwanaccm B.Membe awe Rais.
Yaani mwana CHAUMA anampigia debe mwanaccm awe rais?
Ina maana uko kwenye upinzani hakuna anayefaa kuwa rais?
Kwa akili hizi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba matumizi ya viroba na bangi yamedhibitiwa mtaani.
 
Benard Membe akiwa Rais nitakuwa Mtanzania wa Kwanza kuanzisha Kikundi cha ' Waasi ' nchini na najua kwa ' mikakati ' itakayokuwepo na nitakayoiweka hatoweza Kuongoza / Kutawala na badala yake atakimbia nchi mwenyewe. Namkubali na namheshimu hasa katika nafasi zingine za Uongozi au za Kichama ila kwa nafasi ya Urais hafai kabisa na acheni Kumjambisha ( Kumpandisha Mzuka ) kwani hakuna ambacho atafanikiwa nacho.
GENTA UTAKUWA NA CHUKI BINAFSI,HUMKUBALI BUT YOU DONT HAVE TANGIBLE REASON.

YOU DISLIKE SOMEONE WITHIOUT GROUND...! NAANZA KUKUSHAANGAA UNAELEKEA KUWA KAMA PETRO MSELEWA,
 
' Chokochoko ' zote za Rwanda na Tanzania alizianzisha Yeye na ' Nduguye ' Mstaafu akamuamini hivyo bado nina ' Bifu ' nae na halitaisha leo wala kesho labda atuombe radhi / msamaha Warwanda hasa Rais wetu ' Mpendwa ' Paul Kagame.
 
yani nyie vijana mnahangaika sana

mtoa mada mwenyewe ndo huyu
@
Mwl Ukweli
New Member

Joined Dec 21, 2018
Mkuu usishangae waweza kukuta ni hawa hawa UFIPA waliokomalia hiyo SINGLE ya MEMBE mpaka ika expire Sasa kaamua kuja na ID mpya kwa kuona noma.Hawajui kuwa Membe kashaitwa na kupigwa mkwara kimya kimya baada ya kuonyeshwa ramani zake zote na kapewa WARNING ,next time ni kuvuliwa uanachama, katika vyama vyenye mikakati ya hatari Afrika mashariki,Kati mpaka kusini yote ogopa chama kinaitwa CCM. Sio cha kuchukulia poa, ukitaka ushahidi kamuulize NGOYAI na ROSTAM.Hawana hamu nacho
 
Back
Top Bottom