Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Tujikumbushe 2015 maneno ya maono ya Mh. Bernard Membe kwamba bila kuwa makini unaweza kupata mgombea asie mtanzania, asiyeweza kubeba taifa likawa moja na asiyejali roho za watanzania. Akataa madai ya utafiti kwamba hana vigezo kuelekea uchaguzi mwaka 2015.

Kuhusu utafiti wa TWAWEZA kwa watia nia kwa tiketi ya CCM ajaribu kuuchambua kisayansi . Na maoni yake Mh. Membe mwaka 2015 aliona CHADEMA ni chama imara kisichoweza kupasuka Kikiwa nje ya UKAWA .
 
Ebu jamani subiri Airbus zizinduliwe mnataka mwenyekiti taifa aanze kutukana hovyo hovyo au amjui kuwa anafrastration?
 
Nimekusikia Mheshimiwa Rais awamu ya Tano.

2020 CCM tunaenda na wewe.
 
"A strong united Political Party"

Tuunganishe Baba tuunganishe, by 2020 utueleze, "hauwezi kushinda economic war bila kuwa na a strong united Nation"

Utatuvusha 2020
 
"A strong united Political Party"

Tuunganishe Baba tuunganishe, by 2020 utueleze, "hauwezi kushinda economic war bila kuwa na a strong united Nation"

Utatuvusha 2020

Acheni kuntia ujinga baba yenu mdogo.
 
Habari za muda mabibi na mabwana!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.

Karibuni kwa maoni yenu.

====
Mbona bado mapema hamjaisoma bado jiwe ktk ubora wake
 
URAIS 2020,CHADEMA TWENDE NA BERNARD MEMBE KWANI NDIYO UTARATIBU WETU WA KAWAIDA TANGU KAMA 2015.
 
Ndugu zangu,
Haya ni maoni yangu binafsi nisije nikaanza kuviziwa kutolewa roho na wale wasiopenda kukosolewa.
Nimefuatilia kwa umakini mkubwa kilichotokea Congo kwenye uchaguzi na uhusika wa kanisa katoliki ktk kupigania haki za wananchi.
Kwa leo sitapenda kuzungumzia umuhimu wa dini kwenye jamii ila ninalipongeza kanisa kwa kufuata misingi ya ki MUNGU kutatua migogoro,ni vema na kanisa katoliki tanzania kuiga na kufuata njia hizo,achana na hivi vikanisa uchwara vinavyowalamba miguu wauaji na kuwasifia hadharani.
Pia kinachoendelea zimbwabwe mpaka muda huu naandika kinasikitisha,bw.Mugabe ameshaiharibu nchi ile na wananchi wanateseka na uchumi wakati yeye kwa sasa amekaa kwa raha anakunywa juice ya baridi bila shida akiwacheka wananchi wake.
Ifike mahali chama cha mapinduzi kijifunze kutokana na matukio ya vyama vilivyoharibu nchi zao kwa kuwakumbatia viongozi wanaoharibu badala ya kujenga.
Ni vema kukawepo na mbadala pale ambapo kiongozi aliyeko madarakani anapoharibu basi asiruhusiwe kiendelea kuharibu na badala yake awepo mbadala na hatimae nchi isonge mbele,
2020 ili kuokoa taifa letu la tanzania na mateso ya wananchi ya kiuchumi,kutekwa,kuuawa,kupotezwa na hata kuweka mahusiano kwa vyama vya upinzani na hatimaye kujenga nchi moja isiyo na upendelea wa kikabila au kikanda ni vema ccm mkawa na plan b ambayo ni Bernad Membe kuwa mgombea wa uraisi,chama kinapaswa kuwa imara na kisimuonee haya wala huruma anayeharibu misingi ya chama.

Na kama ccm haitaliona hilo kama la maaana,ninawahakikishia 2025 mtayaona yaliyotokea Congo.

Yangu machache hayo.

@#Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
 
Kujieleza hakujengi uchumi....wala hakuongezi ugali na mboga mezani kwa wananchi....Isitoshe wamekwisha tawala muda mrefu hakuna cha maana tulichokiona ....labda jaribu kuleta jina la candidate mwingine...
 
Wakuu.
Tuache Utani jamaa anaakili hadi anaudhi, yaani mtu anajieleza Kwa umakini na unahisi kweli kiongozi anaongea
Anatumia busara kuelezea kitu, hafokifoki kama mtu tu wamtaani.
Hana hasira na anaonekana ni kiongozi aliyeiva sana kwenye masuala nyeti kabisa ya nchi kuliko viongozi wengi,
Membe usihi Daima nitazidi kukuombea kwa Mungu uwe na umri mrefu.
Huwa Ninawaza na moyo wangu huniuma sana pale ninapoona nchi yangu kuwa ina viongozi wanaosifiwa kuwa nilikopa vichwa na walishashika madaraka lkn hawakutufanyia kitu cha maana wanapoanza kuongea Kama vile alishawahi kututendea mema Sijui wanataka kutushawishi nini sielewi

Ila pia sipendi Musiba anavyojiongelesha
 
Back
Top Bottom