Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Wakati mwingine bwana Mshana Jr , kuna watu huwa wanaweka mtu wao ili huku nyuma wapige mishe zao...

Si ajabu mama akatusua 2025 hata kama hana hiyo nguvu lakini akawa na watu (kwa sauti ya mzee Mpili)...
 
Mary Nagu,Asha Rose umekosea katiba inataka rais au naibu mmoja atoke visiwani.!
 
Samahani boys2men ni Kikwete na nani?
 
Mungu tunaomba utuepushe na Mwigulu Nchemba...Bora Magufuli 10 kuliko yule bwana kwa roho mbaya
 
Lakini tupo walinzi wa kudumu wa nchi yetu...History will remember us...Just tell them mashimo wanayoyachimba watatumbukia wao wenyewe...
 
Wakati mwingine bwana Mshana Jr , kuna watu huwa wanaweka mtu wao ili huku nyuma wapige mishe zao...

Si ajabu mama akatusua 2025 hata kama hana hiyo nguvu lakini akawa na watu (kwa sauti ya mzee Mpili)...
Nina wasiwasi mkubwa hili linaweza kuja kutimia
 
CHADEMA mtamsimamisha Ndugai 2025 au bado mnasubiri mgombea mwingine toka CCM mwaka 2025? Ninawashauri subirini Dr Babutale akipigwa chini kura za maoni ubunge ili awe mgombea urais wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…