Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Hakuna katiba inayosema hicho ulichoandika, sio ya JMT wala ya CCM. Kwa CCM kumuacha Rais amalize kipindi cha miaka 10, ni utaratibu tu wala haumo kwenye katiba! na Katiba ya JMT inasema Rais ataongoza kwa kipindi kisichozidi miaka 10 ya vipindi viwili vya miaka 5, lakini sio lazima Rais aongoze vioindi vyote, akishindwa kwenye kipindi cha kwanza basi

Yaani wewe ni pumbafu la mapumbafu kasome mabadiliko ya katiba ya CCM yaliyopitishwa na JPM na katibu wake mkuu Bashiru katika mkutanio mkuu MAALUNU wa CCM kipindi kile kuwadhibiti akina Membe wasichukue form uchaguzi mkuu uliopita.
 
Samia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….

Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…

Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!

Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Acha uongoo Mzee bibi mkubwa hapo kapata kwa bahati na ndiyo maana hadi sasa hivi wanamsumbua kiufupi hajasuka mfumo wake mwenyewe ndani ya chama na hata serikalin. . Siasa za ccm ni ngumu kuzielewa.

Mimi nampenda huyu mama lakin sion kama chama kitampatia nafasi tena
 
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana. Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao. Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za mfumodume zilizojengeka miongoni wao. Ni kati yao hawa wote tayari wanapiga jalamba kuelekea 2025.

Hakuna anayetaka kuharibu lakini kila mmoja anaomba mwenzake aharibikiwe

Kila mmoja ana timu zake zinazodukua na kutafuta taarifa za wengine. Kila mmoja ana wapambe wake, wapiga filimbi wake, chawa wake nknk.. Ni mwendo wa kutafutana kimya kimya!

Vinara front liners au front contenders ni wale wale vijana wetu ndani ya chama wanaotaka kuwapiga chini wazee
Waziri wa fedha
Aliyewahi kuwa waziri wa mazingira
Aliyewahi kuwa waziri wa afya na utalii pia
Kuna pia yule waziri mwenye asili mbili
Na wengineo

Wote wanajiweka vizuri kielimu.. Tayari wawili wana PhD. Wote kwa nyakati tofauti walipiga pesa ndefu za chama na serikali pia. Wanafahamiana vizuri tu nani alipata ngapi kwenye nini..wote wana miradi mingi na wanaingiza vipato vya kutosha sana

Wote wana ushindani mkubwa sana. Wanataka kuoneshana ubabe wao kwa wao. Huyu waziri wa sasa wa kibubu amepata pa kupigia kiulaiiini sana na ni wazi wenzake wanaona gere kupitiliza, lakini naye hana hakika kama atadumu kwenye hiyo nafasi mpaka 2025 kwahiyo sasa ni mwendo wa chukua chako mapemaaa

Common sharing iliyopo kati ya wote hawa ni moja, hawataki katiba mpya wanajua hicho ni kitanzi cha ndoto zao...! Hi yo basi tutarajie drama za kila aina

Drama za tozo na miamala
Drama za wapingao chanjo
Drama za bidhaa kupanda bei
Drama za usalama nknk

Vitu vidogo vidogo vitakuzwa na kuhakikisha vinabaki midomoni mwa watu kwa muda mrefu. Mama atakimbizwa kimbizwa sana ili wenye mipango yao wajipange vema.

Ni mchakamchaka kuelekea 2025[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Itakuwa umetonywa na moja ya kundi.

Na nawaona pia wapiga debe walioandaliwa na kila kundi
 
Wajuvi wanasema mzee anamuandaa mtoto wake, huyu mama washajua ni dhaifu hivyo wanamuendesha tu. Wanasema hakuna chochote anachojua
Hahahaha Mzee yupi Kuna maraisi wa nchi ya Ahadi kabla ya kufika 2025 watapumzika kwa sir God .wee usubir uoneee wale WASTAAFU na hata waliopo kwenye kitu nchi ya Ahadi Kuna umafia hasa like cha chama Chao ni balaaa
 
Samia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….

Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…

Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!

Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Watakupinga ila nahisi mimi nimekuelewa zaidi. 2015 hawakuwa na choice nguvu ya upinzani ilikuwa kubwa.
Option kama mkosi au bahati ikamuangukia ilomuangukia, akawa against na mipango yao, kila kitu akakiweka yeye anavyoona inafaa, inshort mipango yote aliivuruga. Akaweka ukuta 😂
Njia ikaanza kutetegenezwa kiitaalam.kama bahati ya mtende kale ka ugonjwa kakaja bana, ilikuwa ni bonge la bingo, all in all yule mtu ilikuwa ni lazima aondoke pale nafasi itakapopatikana

Ni wachache sana wanaoweza kuelewa hii movie.
Kwenye vita yeyote adui asijuwe madhaifu yako, akishayajua tu umekwisha.
 
Watakupinga ila nahisi mimi nimekuelewa zaidi. 2015 hawakuwa na choice nguvu ya upinzani ilikuwa kubwa.
Option kama mkosi au bahati ikamuangukia ilomuangukia, akawa against na mipango yao, kila kitu akakiweka yeye anavyoona inafaa, inshort mipango yote aliivuruga. Akaweka ukuta [emoji23]
Njia ikaanza kutetegenezwa kiitaalam.kama bahati ya mtende kale ka ugonjwa kakaja bana, ilikuwa ni bonge la bingo, all in all yule mtu ilikuwa ni lazima aondoke pale nafasi itakapopatikana

Ni wachache sana wanaoweza kuelewa hii movie.
Kwenye vita yeyote adui asijuwe madhaifu yako, akishayajua tu umekwisha.
Njia ikaanza kutetegenezwa kiitaalam.kama bahati ya mtende kale ka ugonjwa kakaja bana, ilikuwa ni bonge la bingo, all in all yule mtu ilikuwa ni lazima aondoke pale nafasi itakapopatikana[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Waache wahangaike bure. Urais wa tanzania hautafutwi mtu anapewa. Kama hawaamini wamuulize lowassa. Saa hizi tunajua nani tunampa. Mwenyewe saa hizi halali anachapa kazi kuwatumikia umma.
Na wewe ni mmojawapo wa watu mnaowapa watu urais au umevuta bangi mbichi ukiwa tandale?
 
Mshana mzee wa ramli, urais 2025 inatoka fomu moja tu, anapewa Samia, ambaye atataka kupambana naye tutamshughulikia kwa utaratibu wetu wa chama tukufu, kamati ya maadili then we fck him off! Nafikiri jambo muhimu kwako la kuwaza ni nani atagombea urais kwa chama chenu mfu, Gwajima? Bashite? You guys mmepoteana vibaya mnoo
 
Nafikiri jambo muhimu kwako la kuwaza ni nani atagombea urais kwa chama chenu mfu, Gwajima? Bashite? You guys mmepoteana vibaya mnoo
giphy.gif

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nilicheka comment moja mdau anasema "Samia kuwa makini Mungu asije kukuona kama alivomuona Magufuli"
Kwani bwana yule unafikiri ilikuwa Mungu hata😅 ni mbinu tu za kinamna flani zilitumika kumuondosha atleast thats what my intuition says
 
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana. Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao. Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za mfumodume zilizojengeka miongoni wao. Ni kati yao hawa wote tayari wanapiga jalamba kuelekea 2025.

Hakuna anayetaka kuharibu lakini kila mmoja anaomba mwenzake aharibikiwe

Kila mmoja ana timu zake zinazodukua na kutafuta taarifa za wengine. Kila mmoja ana wapambe wake, wapiga filimbi wake, chawa wake nknk.. Ni mwendo wa kutafutana kimya kimya!

Vinara front liners au front contenders ni wale wale vijana wetu ndani ya chama wanaotaka kuwapiga chini wazee
Waziri wa fedha
Aliyewahi kuwa waziri wa mazingira
Aliyewahi kuwa waziri wa afya na utalii pia
Kuna pia yule waziri mwenye asili mbili
Na wengineo

Wote wanajiweka vizuri kielimu.. Tayari wawili wana PhD. Wote kwa nyakati tofauti walipiga pesa ndefu za chama na serikali pia. Wanafahamiana vizuri tu nani alipata ngapi kwenye nini..wote wana miradi mingi na wanaingiza vipato vya kutosha sana

Wote wana ushindani mkubwa sana. Wanataka kuoneshana ubabe wao kwa wao. Huyu waziri wa sasa wa kibubu amepata pa kupigia kiulaiiini sana na ni wazi wenzake wanaona gere kupitiliza, lakini naye hana hakika kama atadumu kwenye hiyo nafasi mpaka 2025 kwahiyo sasa ni mwendo wa chukua chako mapemaaa

Common sharing iliyopo kati ya wote hawa ni moja, hawataki katiba mpya wanajua hicho ni kitanzi cha ndoto zao...! Hi yo basi tutarajie drama za kila aina

Drama za tozo na miamala
Drama za wapingao chanjo
Drama za bidhaa kupanda bei
Drama za usalama nknk

Vitu vidogo vidogo vitakuzwa na kuhakikisha vinabaki midomoni mwa watu kwa muda mrefu. Mama atakimbizwa kimbizwa sana ili wenye mipango yao wajipange vema.

Ni mchakamchaka kuelekea 2025[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
Ni lazima warogane na kuwekeana sumu.
 
Back
Top Bottom