Urais ni kazi ngumu sana ambayo siyo kila mtu anaiweza

Uraisi ni kazi kubwa ndiyo,lakini mama amejitahidi sana hadi kuifanya tanzania iwe hapo miradi mikubwa yote ya baba aliyoiacha mama ameindeleza na kuimaliza isitoshe ni mwanamke tu.

mama samia mitano tena.
 
Asante! Nimefika kukusaidia kuwapiga spana wakina SAGAI GALGANO
 
๐Ÿ˜ Ankooo naona unajinadi.
Mwaga sera.....Safi Sanaa.
 
๐Ÿ˜ Ankooo naona unajinadi.
Mwaga sera.....Safi Sanaa.
Nijinadi nini wakati ephen ni wanguu.wewe huoni watu wanavyojigonga gonga kwake na kutimua mbio kali kama Hussein Bolt wakiniona nimefika.maana nilishatoa onyo kali sana humu jukwaani kuwa nitategua mtu miguu nikimkuta na ephen na sitakuwa na kesi maana itakuwa nalinda mali yangu zidi ya wezi .
 
Uraisi ni kazi kubwa ndiyo,lakini mama amejitahidi sana hadi kuifanya tanzania iwe hapo miradi mikubwa yote ya baba aliyoiacha mama ameindeleza na kuimaliza isitoshe ni mwanamke tu.

mama samia mitano tena.
Kwa hakika Mama anastahili kupewa mitano mingine kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Kazi ya urais ni rahisi sana ukiwa upande wa haki.Na kazi ngumu na ya kijinga ni kuwa chawa wa mtu na kuanzisha vi thread uchwara vya kumsifu mtu
Rais Samia Mama yetu mpendwa ni mpenda haki na mtenda haki.
 
Wewe umeshawahi kuwa rais? Kama ingekuwa hivyo asingekuwa anahangaika hivi na machawa kumpigia kampeni aendelee angeacha aende akakae na mumewe.
 
Ndiyo si kila mtu anaweza. Jimama limeshindwa liachie wengine. Na wewe shetani jinga Sana. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ