Urais ni kazi ngumu sana ambayo siyo kila mtu anaiweza

Ndiyo si kila mtu anaweza. Jimama limeshindwa liachie wengine. Na wewe shetani jinga Sana. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
Wewe hunaga akili kabisa.kazi yako ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo
 
Wewe umeshawahi kuwa rais? Kama ingekuwa hivyo asingekuwa anahangaika hivi na machawa kumpigia kampeni aendelee angeacha aende akakae na mumewe.
Rais Samia anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania kwa sababu ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kiuongozi na kuleta matunda ndani ya muda mfupi wa uongozi wake
 
Rais George W. Bush alikuwa anawachagua watu competent kufanya kazi na yeye mwenyewe alikuwa anabakia nyumbani kucheza computer games.
 
Awaondoe msoga gang kwanza maana kawakumbatia , au anawaogopa wata mlaza chini kma jiwe
 
KAZI ngumu NI kueshimu katiba...if the fact doesn't fit the formula ,change the theory not the formula. Kanuni za kuchagua diwani ni Ile ile yakuchahua raisi. UGUMU utaonekana kama Una THEORY zisizo fit KATIBA/FORMULA. Unalalamikia familia Kula Sana badala yakuongeza njia za uzalishaji.
 
Rais Samia ni mtu anayeheshimu sana katiba na misingi yote ya katiba.ndio maana anaongoza nchi kwa kuzingatia misingi ya utawala bora.
 
Kama ingekuwa hivyo tusingekuwa na ma-Rais. Ni kama tulivyokuwa tukiambiwa nilipokuwa mtoto "ukila firigisi hutarefuka" na hivyo kwa kupenda kurefuka, nilijizuia kula firigisi. Hata hivyo, baadaye nilipuuza na nilianza kula nikiwa mdogo. Nikipewa kazi ya kuchinja kuku firigisi nilikuwa naikata vipande viwili: kimoja cha baba ni kingine cha kwangu (lakini ilikuwa Siri yangu).
 
Urais siyo kwa ajili ya kula hayo mafirigisi yako unayoyasema .tunazungumza vitu vya muhimu halafu wewe unaleta habari zako za utotoni hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…