Urais ni kazi ngumu sana ambayo siyo kila mtu anaiweza

sasw kama hamuiwezi mbona mna ung’ang’ania

uongozi siyo wa kila mtu
 
Nani anayeng'ang'ania? Watanzania wanamfahamu mtu mwenye uwezo wa kuwaongoza na ndio maana wana muunga mkono Rais Samia kwakuwa wameona ni kiongozi mwenye uwezo na sifa za kuwaongoza.
 
unaumwa marinda ww😂😂😂
Kwan mi si mtanzania
 
Wewe ulijua urais ni sawa na mwalimu wa michezo?

Huyo mama yenu si ajiuzulu tu maana ameshashindwa vibaya mno.
 
Wewe mpuuzi Hussein Bolt anapatikana Mbozi?

Dunia inamtambua Usain Bolt, huyo uliyemtaja labda ni chawa mwenzio kutoka Mbozi.

Hivi huko Lumumba machawa mbona hamjitambui kabisa vigezo ni vipi ili uwe chawa?
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Rais Samia ndio chaguo la watanzania.ndio maana leo uwanja umeripuka kwa shangwe, nderemo na vifijo baada ya kusikia sauti ya Mama kupitia Simu uwanja wa Benjamini Mkapa
 
ni kweli chawa sugu mbwashwambwa ndio maana hata bibi chura urais hauwezi
 
Ingekuwa ngumu tusingeona mkiiba kura ili kubaki madarakani. Huu utapeli kawaambieni wasiojitambua.
 
Rais Samia ndio chaguo la watanzania.ndio maana leo uwanja umeripuka kwa shangwe, nderemo na vifijo baada ya kusikia sauti ya Mama kupitia Simu uwanja wa Benjamini Mkapa
Eti chaguo la watanzania!

Alichaguliwa na nani huyo mama yenu??

Huyo amerithi urais.
 
Hata huu wa Tanzania, wakutembea na msururu wa magari, Kisha MACHAWA kuanza kukumwagia sifa na mapambio, nao ni mgumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…