Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

..hakuna mwanasiasa muongo nchi hii kama Jpm.

..hakuna mwanasiasa mwenye lugha za matusi na udhalilishaji kama Jpm.

..Na Tanzania Bara hatujapata kuwa na kiongozi MKATILI kumzidi Jpm.
Ww utakuwa ni ngedere anayeharibu mazao halafu unataka huruma
 
Jambo zuri ni kuwa taasisi inayotafutwa kuundwa inapata mamlaka kutoka kwa wananchi,wapiga kura na sii kutoka kutoka kwa mkereketwa au mfurukutwa wa chama Fulani,tusubiri muda bado na muda ni mwalimu.
Uchaguzi ni tofauti na ligi, wote tutafika fainali yaani siku ya uchaguzi lakini uliyoyafanya/uliyoyaahidi ndio mtaji wa ushindi wako
 
Nimequote tu. Kwani uneandika nini?
 
Si ndio Kiki ambayo waberigiji waliitengeneza ili kumwandaa Lissu kuja kugombea ili atafte kura za huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…