security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww utakuwa ni ngedere anayeharibu mazao halafu unataka huruma..hakuna mwanasiasa muongo nchi hii kama Jpm.
..hakuna mwanasiasa mwenye lugha za matusi na udhalilishaji kama Jpm.
..Na Tanzania Bara hatujapata kuwa na kiongozi MKATILI kumzidi Jpm.
Anafikilia kwa kutumia kidole ,, na sio ubongo tumsamehe JPM ndio kiongozi wa wa waTanzaniaHivi una akili kweli wewe na unajielewa vizuri????? Na wewe utakuwa na akili zile zile za kutafta huruma
Picha makini sana hiyo
Uchaguzi ni tofauti na ligi, wote tutafika fainali yaani siku ya uchaguzi lakini uliyoyafanya/uliyoyaahidi ndio mtaji wa ushindi wakoJambo zuri ni kuwa taasisi inayotafutwa kuundwa inapata mamlaka kutoka kwa wananchi,wapiga kura na sii kutoka kutoka kwa mkereketwa au mfurukutwa wa chama Fulani,tusubiri muda bado na muda ni mwalimu.
Wewe imekuvutia kitu ganiPicha makini sana hiyo
Nimequote tu. Kwani uneandika nini?Tundu Lissu ni moja ya wagombea wanaoendelea kujinadi maeneo mbalimbali kwa Watanzania akitaka achaguliwe kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Namfuatilia sana Ndugu Lissu kwenye kila mikutano yake anayonadi Sera zake lakini sidhani kama kwa kiwango cha nafasi ya Urais anachokitaka kinaendana na kariba yake, hadhi ya cheo chenyewe cha Urais kama taasisi ya heshima kubwa kabisa.
Kiongozi wa nafasi kubwa kama ya Rais ni lazima apimwe kwa mienendo yake mbalimbali ya vitendo, kauli na ukweli ndani yake. Anayoyanadi kwenye mikutano yake ndio aina na mwelekeo wa kiongozi huyo hata akipata madaraka. Kiongozi muongo ni dhahili anatia doa na hofu ya uwezo wake kwenye nafasi hii inayomtaka mtu mchamungu na mkweli sana.
Lissu kwenye mikutano yake amekuwa akilaani vikali na kupinga kitendo cha Serikali kununua ndege kwa kuhoji faida ya ndege hizo. Baada ya kauli yake hiyo anayoitaja kila mahali na kuifanya kama ajenda yake nilitarajia na kutegemea kwamba Lissu angetumia magari kote huko apitako kwasababu ndege hazina faida lakini cha ajabu nimeshangazwa na kumuona Lissu huyuhuyu anayeponda na kupinga ununuzi wa ndege kumuona na yeye akipanda ndege hizo. Hii inatoa picha na somo kwa Watanzania juu ya aina ya Ndugu Lissu.
Kwenye mikutano ndege hazina faida lakini baada ya mkutano anapanda hizohizo. Huu ni unafiki kwa mtu anayetaka cheo cha ngazi kubwa kama ya Urais.
Lissu akiwa Shinyanga alinukuliwa akisema yeye akiwa Rais ataruhusu wafugaji kufugia kwenye hifadhi zetu za wanyama bila bughudha yeyote ile. Sasa jaman Watanzania wenzangu tujiulize kidogo hivi mbuga za wanyama zinazotuingia Mabillion ya pesa na kuwa Sekta ya pili kwa kuchangia pato la Taifa Lissu anasema ataiharibu na kwa kuwaruhusu wafugaji na watu kufanya wanachokitaka. Hii mlisikia wapi?
Hapo hujazungumzia huruma ambayo amekuwa akiitia kwa Watanzania kila siku kwa tukio lake la kupigwa risasi. Yan leo Lissu aende Ikulu kwasababu ya risasi alizopigwa. Wakati Watanzania wakitaka kusikia Sera zinazogusa maisha yao kwenye maji, elimu, barabara, afya na ustawi wao yeye stori na Sera kwa Watanzania ni risasi. Yani hii ndo Sera kuu ya Lissu. Yaani dhamana nyeti kama ya Urais mtu achaguliwe kwasababu ya Sera ya kupigwa risasi. Yani tutakuwa nchi ya ajabu sana duniani.
Zaidi Lissu ameendelea kuwakanyaga wamachinga na wajasiriamali wadogo kwa kudanganya sana. Jana pale Dodoma Lissu alipinga hadharani utaratibu wa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo. Hivi kwenye nchi hii nani asiyejua namna wamachinga walivyosumbuliwa kila mahali nchi nzima kwa kutozwa makodi ya ajabu ajabu na kufukuzwa kila mahali.
Utaratibu wa kuwalinda watu hawa ili wafanye biashara zao bila bughudha na mtu yoyote kwa kuwapatia vitambulisho maalum na kulipa elfu 20 tu kwa mwaka badala ya hela walizokuwa wanatozwa kila siku Leo Lissu anaponda. Tunaweza kuwa tofauti kwenye itikadi na imani zetu kisiasa lakini linapokuja suala linalogusa maisha na maslahi ya watu siasa ni lazima ijitenge na uhalisia.
Uongozi ni dhamana na matendo na mienendo mizuri sasa ukiona mtu anayeomba Urais anakuwa na tabia za namna hii kwakweli inashangaza na kutia wasiwasi sana. Watanzania mnalo jukumu la kwenda kufanya maamuzi Oktoba 28.
Korosho watu washalipwa kabisa labda na juzi Makamu alikuwa huko kusini na watu waliambiwa Kama Kuna mtu hajapokea malipo aende akalipwe au hukusikia ndg?Tulipeni posho zetu la sivyoo huyo magufuli hatumchagui.View attachment 1568883View attachment 1568884
Kiukweli Zanzibar ni neema tupu kwa mgombea walimuweka CCM na iona mbali sana.Wewe imekuvutia kitu gani
Si ndio Kiki ambayo waberigiji waliitengeneza ili kumwandaa Lissu kuja kugombea ili atafte kura za hurumaSio suala la kutaka huruma. Tukio la mbunge tena kiongozi wa upinzani kupigwa risasi hata ingekua moja tu, kupigwa maeneo ya makazi yanayo lindwa na askari waajiriwa wa serikali, lakini wahusika wasijulikane zaidi ya mwaka, siyo suala dogo.
Siyo ajabu mgombea kutumia mfano huo kuonesha mambo yanayotakiwa kufanyiwa maboresho katika nchi hii.
Baadhi yetu tumefuatilia kauli za wakubwa na vitendo kuhusu tukio lile, ukweli ni kauli za kuashiria furaha ya kilichotokea, maana sio kwa kejeli zile kwa mjeruhiwa!
Mnao kerwa na mfano huo mnasumbuliwa na suto la moyo.
Jambo ambalo mgombea wa zanzibar ametisha ni ile speech yake fupi na ya kueleweka pia imegusa maisha ya watuKiukweli Zanzibar ni neema tupu kwa mgombea walimuweka CCM na iona mbali sana.
Hivi kaka kauli mbiu ya mgombea wa upinzani zanzibar ni nini?Jambo ambalo mgombea wa zanzibar ametisha ni ile speech yake fupi na ya kueleweka pia imegusa maisha ya watu
Kazi na bata kakaHivi kaka kauli mbiu ya mgombea wa upinzani zanzibar ni nini?
Hata chizi huwaona wengine wote machizi na yeye pekee ndie mzimaMtaji wa ccm ni wajinga na mijitu isiyo na uelewa kabisa, naona wajinga mumekutana munajifariji, good enough mwamba anavyozidi kuboronga hata nyie fools hamko salama.
Nilidhani "sawa sawa"maana leo nilikua kibanda maiti nilisikia kila akiongea anasema sawasawaKazi na bata kaka