Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo


Naona ndugu Tundu Lissu anacheza na akili za Watanzania na anadhani ni wajinga na limbukeni kiasi cha kushindwa kutambua sera makini na porojo zake pamoja na kuonewa huruma.
Haitatokea wala haitokuja kutokea mtu wa namna ya Lissu na Lissu mwenyewe kupewa Dola kwa sera hizi dhaifu.
 
Jambo ambalo mgombea wa zanzibar ametisha ni ile speech yake fupi na ya kueleweka pia imegusa maisha ya watu
Na huyu ni mmoja wa viongozi ambao hawatakiwi kupewa uongozi kwa maana Kama kiongozi kweli unashindwa tu kulipa deni serena hotel mpaka kitu kinadumu miaka 5 je Kama tukimkabidhi Zanzibar ataweza kweli kusimamia haki au anaweza kulewa madaraka na kufanya anayoyataka mwenyewe
 
Si unajua yule jamaa amekariri miaka ya nyuma yaani akiongea watu wamjibu sawasawa hajui kama dunia inabadilika
Sasa ndugu mimi ni chadema ila nakubali mambo mengi ya CCM ,, lakini watu ninaoishinao wamejazwa ujinga wa kupinga kila kitu sasa wananikatisha tamaa.
 
Tujulishe chuo cha kusomea U Rais na tujulishe hao waliopita kwamba ukweli wao ulikuwa upi ukimuondoa Nyerere.
Magufuli mwenyewe kakiri mara nyingi kuwa yeye alijaribu tu lakini mkamsukumia (hakujiandaa wala kuandaliwa).
U raisi ni taasisi na taasisi si mtu mmoja tu
 
Yaaani kama ulikua kichwani mwangu yule jamaaa na wabegiji ndio walicheza sinema ya risasi ili apate kiki sasa hakutambua kama watanzania ni werevu na watamuonesha october
 
Hakika
 
C Mbowe! Anaewadhulumu wabunge wa Chama chake kwa kuwachangisha michango pamoja na wanachama
Ehee! Aliyeua watu Kibiti, amewateka akina Azory, Ben Saanane, Roma, Ney na kisha Nape kutopewa bunduki hadharani.

Huyu kwa vyovote lazima atapelekwa The Hague.
 
Na huyo anayejiita KICHAA aliyeifanya Tanzania idharauliwe na majirani zetu na nchi nyingi duniani ndiye anastahili siyo? Ndiyo wale wale MAZWAZWA wa lumumba.

BAVICHA siku mkipata akili mtaweza kukisaidia chama chenu, tatizo wenye akili hua wanahama.Either you agree or not but uo ndo ukweli
 
Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa. Hebu fikiria mualiko wa M7 wakati wa kampeni unamaana gani?? Unalihadaa Taifa kama siyo kuchanganyikiwa kutokana na mapigo ya Mh Lissu ni nn??
 
Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kwenye daftari la kidumu la wapiga kura ni mil. 29

Kati yao mil. 17 ni wanachama hai wa ccm kwa maana hiyo tayari ccm wameshashinda kwa zaidi ya asilimia 58 ukijumlisha wanachama wa vyama vipanzani wanao vihama vyama vyao tayari Wana asilimia zaidi ya 60 ya ushindi kabla ya kupiga kura.

Hiyo asilimia 40 iliyobaki uigawe kwa vyama pinzani vyote vilivyobaki then utabiri Kila mgombea wa upinzani ana asilimia ngapi ya kushinda
 
Kibaraka aliyeenda kuisema vibaya nchi ili ikose misaada
 
Na tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?

Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
Lissu alianza kampeni kwa kutaka kuivunja amani lakini jeshi imara la polisi limetumia weledi na reasonable force kupambana na wote waliojipanga kuivuruga amani.
Yaani picha za vurugu zimetafutwa kwa udi na uvumba na kwa jina la Mungu zimekosekana.
 
Tulia wewe wezi wakubwa nyie lisu ndio alikuwa anasaini hiyo mikataba?mmeshatutapeli sana wakati wenu WA kitandua vilago umefika
Lissu amejitembeza sana kwa mabeberu ila kaangukia pua.
 
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa. Hebu fikiria mualiko wa M7 wakati wa kampeni unamaana gani?? Unalihadaa Taifa kama siyo kuchanganyikiwa kutokana na mapigo ya Mh Lissu ni nn??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo wakati wa kampeni shughuli zingingine za kitaifa zinasimama??

Je Sasa hivi kuna raisi au hakuna raisi kiss ni kipindi Cha kamapeni?

Ndio maana wapinzani watabaki kushindwa daima kwa sababu reasoning capacity yao ni ndogo siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…