Wananchi wengine waliobaki uliwapima wapi?.au unawaza kwatumia akili za watu wengine.Aise kama wewe na ukoo wako wote hamuwezi kuongoza jisemee mwenyewe.Uraisi wowote ule unamhitaji mtu ambaye ni jasiri, mwenye maamuzi mazito na mwenye maono positive kwa ajili ya kampuni/taifa/jamii husika
Kama hana hivyo vyote basi hastahili kuwa kiongozi katika level hiyo.
Kwa wagombea wote wanaowania kiti hicho Cha uraisi hapa Tanzania ni magufuli peke yake anayestahili hicho cheo kwa sasa
lisu kawashikisha ukuta ***** mtanena kwa lugha uchaguzi huuNa tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?
Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
Wanaweweseka kwa kasi sana.Maneno mengi yakuunga unga alafu ujinga mtupu.Naona leo uvccm wamekuja kwa kasi ya ajabu. Wengine wana ID zaidi ya tano anacomment ili mradi waonekane wapo wengi.
Janja yenu tunaijua alichowaambia polepole jana.
Nchi mlishaiuza siku nyingi kwamamikataba yenu ya ovyo mliyoingia.Au hebu niambie ni rasilimali gani kubwa inayomilikiwa na mtz nchi hii.Nyie wenyewe ndio mmeitia nchi umasikini wakutupa alafu mnajishaua.Mgombea kama lissu kwa ulimbukeni wake hawezi kuwa rais kwani hatauza nchi siku anaingia ikulu, naunga mkono hoja.
Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Brother trust me ...this will never happen. CCM wont allow this...never!!Hakuna shaka yoyote kwamba Lissu ni presidential material wa kiwango cha juu kabisa. Ili kujiridhisha ni nani presidrntial material vyombo vya habari viandae mdahalo wa wagombea urais. Mdahalo huu uandaliwe bila kujali kwamba kuna baadhi ya wagombea wataukimbia. Mdahalo wa 1995 ulidhihirisha nani alikuwa presidential material zaidi kati ya mgombea wa ccm na yule wa mccr!
Sizungumzii korosho.nazungumziaa sisi tunaenda kujaza mikutano huwa tuna ahidiwa kulipwa posho lakini naona usunbufu umezidi kila siku unaambiwa kesho.tumechokaaaaaKorosho watu washalipwa kabisa labda na juzi Makamu alikuwa huko kusini na watu waliambiwa Kama Kuna mtu hajapokea malipo aende akalipwe au hukusikia ndg?
Sizungumzii korosho.nazungumziaa sisi tunaenda kujaza mikutano huwa tuna ahidiwa kulipwa posho lakini naona usunbufu umezidi kila siku unaambiwa kesho.tumechokaaaaa