Kuna watu wanadhani tz ni kama kiwanja cha kujenga kwamba ukiwa na hati miliki basi we ni mmliki halali, unaweza kifanyanyia matumizi yoyote utakayo,Ndugu hili ni taifa , mtu yoyote kupitia chama chochote ataliongoza taifa hili alihali wananchi wamemkubali basi , hakuna maneno mengine ,hili ni taifa la mungu na sio la mtu yoyote wala chama chochote , so ukisikia mtu anadiriki kusema eti hatwezi kuachia nchi maana tumerisishwa toka kwa wahasis wetu , huku ni kumkufuru mungu,kwamba taifa la watu wake ,unaweza kurilisisha kama shamba lako la ukoo , asira ya mungu itakapo wageukia msije sema hatukuwambia
tz itaongozwa na yoyote alihali wananchi wameamua kumhajili kwa hiali zao wenyewe kwa kumpa kura , hakuna matakwa ya mtu binafsi hapa ,