hezron magoti
Member
- Jul 3, 2011
- 17
- 15
Umenena vyema mkuuNa tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?
Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema mkuuNa tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?
Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
CCM amani ni kipaumbele lakini hatuna hofu kwakua wananchi hawana sababu kuichagua chademaNa tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?
Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
C Mbowe! Anaewadhulumu wabunge wa Chama chake kwa kuwachangisha michango pamoja na wanachamaKumbe unamjua? Basi huyo ushahidi wa udhalimu wake uko bayana.
Tuwafundishe haoNi kweli kwa mujibu wa katiba Raisi ana nafasi kuu 3 mkuu wa nchi,kiongozi wa serikari,amiri jeshi mkuu
ExactlyUraisi wowote ule unamhitaji mtu ambaye ni jasiri, mwenye maamuzi mazito na mwenye maono positive kwa ajili ya kampuni/taifa/jamii husika
Kama hana hivyo vyote basi hastahili kuwa kiongozi katika level hiyo.
Kwa wagombea wote wanaowania kiti hicho Cha uraisi hapa Tanzania ni magufuli peke yake anayestahili hicho cheo kwa sasa
Nani watampa be specificWatanzania mamilioni watampa.
Lissu hana hoja tofauti na kutafta hurumaAah nimekupata kumbe hoja ni kununua kwa Cash. Sio kuwa anapinga?
Mkopo + riba= Deni lingekuwa kiasi gani?
Mbona ccm mlishawapa bure hao wazungu rasilimali zetu bure hata mwenyekiti wako alishakiri akisema gesi ya mtwara si yetu mgodi wa mwadui ni wetu vitalu vya uwindaji huko longido ni vyetu migodi ya ggm ni yetu ccm mlishauza inch muda mrefu ndio maana hata magu alipoingia ikulu aliona hana cha kuuza ikabidi ajifanye anapitia mikataba ya madini upya ili na yeye apate zakeKuna mgombea mmoja alitumwa na Wazungu na amewaahidi akishinda atawapa raslimali bure
Hlo swala la kuwa kapgwa risasi kisa ni mbunge wa upinzani hyo ni nadharia tu, kuna wabunge wangapi wa upinzani nchi hii mbona hawajapgwa risasi!Sio suala la kutaka huruma. Tukio la mbunge tena kiongozi wa upinzani kupigwa risasi hata ingekua moja tu, kupigwa maeneo ya makazi yanayo lindwa na askari waajiriwa wa serikali, lakini wahusika wasijulikane zaidi ya mwaka, siyo suala dogo.
Siyo ajabu mgombea kutumia mfano huo kuonesha mambo yanayotakiwa kufanyiwa maboresho katika nchi hii.
Baadhi yetu tumefuatilia kauli za wakubwa na vitendo kuhusu tukio lile, ukweli ni kauli za kuashiria furaha ya kilichotokea, maana sio kwa kejeli zile kwa mjeruhiwa!
Mnao kerwa na mfano huo mnasumbuliwa na suto la moyo.
Ulipoanza nikajua kuna kitu ndani yako ila nimegundua kama ni wapumbavu basi wewe ni mpumbavu mkubwa kwakua kwakushindwa kujibu hoja hizo umetanguliza upumbavu na upuuzi, hakuna hofu katika uchaguzi huu na magufuli atashinda kwa asilimia zaidi ya 80Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Kumbe na wewe upo kwenye kundi la Mbulura ivi Rais tahira ndo unamleta hapa. Mwenye sera zilizoandikwa ubeligijiKweli.
Kwa mwenye akili timamu hawezi shabiki Tundu Lissu.Kweli.
Hivi una akili kweli wewe na unajielewa vizuri????? Na wewe utakuwa na akili zile zile za kutafta huruma..hakuna mwanasiasa muongo nchi hii kama Jpm.
..hakuna mwanasiasa mwenye lugha za matusi na udhalilishaji kama Jpm.
..Na Tanzania Bara hatujapata kuwa na kiongozi MKATILI kumzidi Jpm.
Vijana wa CCM wamependeza woteVijana tumeshaamua Rais wetu ni Yeye Mgombea wa Chama cha Mapinduzi
View attachment 1568898