Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

Uchaguzi 2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

Ni aibu Sana vijana wa kitanzania kutegemea siasa ili familia yako iweze kwenda choon ,yaan naona mnaandika tu upumbavu ambao unaonyesha ni jinsi mna maisha ya dhiki kuanzia kichwan had kwenye familia zenu .

Kama lisu Hana sifa za kuwa raisi mnataka kuniambia tume ni wajinga na hawana akili maana wamepitisha mtu asie na vigezo? Vijana wa Tanzania achen upumbavu tafuten maisha kwa njia zilizohalali na sio kutegemea siasa za kutukana watu .

Kwenye hizi comment nimejiaminisha Sasa Tanzania Ina vijana wapumbavu Sana Tena wanafki alaf wenye njaa ya kutukuka ,maana kijana anaejielewa hawez kuwa na mawazo mavi Kama hayo yenu.
 
Hii ni akili ya mtu anayetaka kuwa raisi wa nchi😳😳😳😳😳 anawaona wenzake wote ni wajinga hawajui kiingereza ila yeye peke
Hiyo ni dharau ya kimataifa anasahau amefundishwa law na professor kabidi mpaka akawa mwanasheria leo anawaona wote hawajui kitu.

Anadharau walimu wa kiswahili na juhidi zote za kukusa lugha ya kiswahili na kuiingiza kwa top ten ya lugha za kimataifa, kwa maana hiyo anadharau na kupuuzia origin yetu kisa yeye amekaa Sana ughaibuni ashaanza kusahau kama origin yake ni hapa Tanzania
Anataka tuanze kutumia kiingereza kama lugha rasmi na tupuuzie ya kwetu anasahau kuwa china na mataifa mengine wanapambania lugha zao na hiyo ni ishara mojawapo kuwa mpo huru hamtumii lugha za watu.
View attachment 1568928
 
Lissu amejitembeza sana kwa mabeberu ila kaangukia pua.
Hivi kati ya lisu na marais wenu wa ccm ninani aliyejitembeza sana kwa mabeberu kati ya mkapa,kikwete, na nyerere wamefanya safari nyingi kujitembeza kwa mabeberu hadi mikataba mlikuwa mnasainia mahotelini mnatapatapa hamna aibu wezi wakubwa mmeiba sana inchi ndio maana mnaogopa sana lisu akiingia ikulu hakuna atakayebaki uraiani mnajua wote mtakwenda segerea tulieni ninyi wezi wa wawatazania
 
Na tunajua tukichagua Chadema wataanzisha vita Tanzania na sisi tuna ndugu zetu wazee wengine wagonjwa tutakimbilia wapi?

Watanzania tumebaki na CCM tu kwasababu ndio imetuletea amani.
Wapumbavu kweli hamtakaa muishe. Yaani mtu anachaguliwa halafu anaanzisha vita. Ni watu wenye kutumia matope kufikiria ndio wanaweza kuamini ujinga kama huo.

Pole sana.
 
Hii ni akili ya mtu anayetaka kuwa raisi wa nchi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] anawaona wenzake wote ni wajinga hawajui kiingereza ila yeye peke
Hiyo ni dharau ya kimataifa anasahau amefundishwa law na professor kabidi mpaka akawa mwanasheria leo anawaona wote hawajui kitu.

Anadharau walimu wa kiswahili na juhidi zote za kukusa lugha ya kiswahili na kuiingiza kwa top ten ya lugha za kimataifa, kwa maana hiyo anadharau na kupuuzia origin yetu kisa yeye amekaa Sana ughaibuni ashaanza kusahau kama origin yake ni hapa Tanzania
Anataka tuanze kutumia kiingereza kama lugha rasmi na tupuuzie ya kwetu anasahau kuwa china na mataifa mengine wanapambania lugha zao na hiyo ni ishara mojawapo kuwa mpo huru hamtumii lugha za watu.
View attachment 1568928
Ww Ni pimbi tu uliejaa njaa had matakoni ,ndio maana unahangaika hapa na mwanaume wa kweli hategemei siasa uchwara Kama hizi ili alipwe na familia yake ile ,
Alaf hii karne Ni ya wasomi huwez kudanganya watu kirahisi kenge wewe ,yaan unapotosha mchana kweupe au unadhan hatuna tv na hatufiatilii kampeni zinavyoendeshwa? Mnahangaika Sana mavi nyie
 
Tundu Lissu ni moja ya wagombea wanaoendelea kujinadi maeneo mbalimbali kwa Watanzania akitaka achaguliwe kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Namfuatilia sana Ndugu Lissu kwenye kila mikutano yake anayonadi Sera zake lakini sidhani kama kwa kiwango cha nafasi ya Urais anachokitaka kinaendana na kariba yake, hadhi ya cheo chenyewe cha Urais kama taasisi ya heshima kubwa kabisa.

Kiongozi wa nafasi kubwa kama ya Rais ni lazima apimwe kwa mienendo yake mbalimbali ya vitendo, kauli na ukweli ndani yake. Anayoyanadi kwenye mikutano yake ndio aina na mwelekeo wa kiongozi huyo hata akipata madaraka. Kiongozi muongo ni dhahili anatia doa na hofu ya uwezo wake kwenye nafasi hii inayomtaka mtu mchamungu na mkweli sana.

Lissu kwenye mikutano yake amekuwa akilaani vikali na kupinga kitendo cha Serikali kununua ndege kwa kuhoji faida ya ndege hizo. Baada ya kauli yake hiyo anayoitaja kila mahali na kuifanya kama ajenda yake nilitarajia na kutegemea kwamba Lissu angetumia magari kote huko apitako kwasababu ndege hazina faida lakini cha ajabu nimeshangazwa na kumuona Lissu huyuhuyu anayeponda na kupinga ununuzi wa ndege kumuona na yeye akipanda ndege hizo. Hii inatoa picha na somo kwa Watanzania juu ya aina ya Ndugu Lissu.

Kwenye mikutano ndege hazina faida lakini baada ya mkutano anapanda hizohizo. Huu ni unafiki kwa mtu anayetaka cheo cha ngazi kubwa kama ya Urais.

Lissu akiwa Shinyanga alinukuliwa akisema yeye akiwa Rais ataruhusu wafugaji kufugia kwenye hifadhi zetu za wanyama bila bughudha yeyote ile. Sasa jaman Watanzania wenzangu tujiulize kidogo hivi mbuga za wanyama zinazotuingia Mabillion ya pesa na kuwa Sekta ya pili kwa kuchangia pato la Taifa Lissu anasema ataiharibu na kwa kuwaruhusu wafugaji na watu kufanya wanachokitaka. Hii mlisikia wapi?

Hapo hujazungumzia huruma ambayo amekuwa akiitia kwa Watanzania kila siku kwa tukio lake la kupigwa risasi. Yan leo Lissu aende Ikulu kwasababu ya risasi alizopigwa. Wakati Watanzania wakitaka kusikia Sera zinazogusa maisha yao kwenye maji, elimu, barabara, afya na ustawi wao yeye stori na Sera kwa Watanzania ni risasi. Yani hii ndo Sera kuu ya Lissu. Yaani dhamana nyeti kama ya Urais mtu achaguliwe kwasababu ya Sera ya kupigwa risasi. Yani tutakuwa nchi ya ajabu sana duniani.

Zaidi Lissu ameendelea kuwakanyaga wamachinga na wajasiriamali wadogo kwa kudanganya sana. Jana pale Dodoma Lissu alipinga hadharani utaratibu wa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo. Hivi kwenye nchi hii nani asiyejua namna wamachinga walivyosumbuliwa kila mahali nchi nzima kwa kutozwa makodi ya ajabu ajabu na kufukuzwa kila mahali.

Utaratibu wa kuwalinda watu hawa ili wafanye biashara zao bila bughudha na mtu yoyote kwa kuwapatia vitambulisho maalum na kulipa elfu 20 tu kwa mwaka badala ya hela walizokuwa wanatozwa kila siku Leo Lissu anaponda. Tunaweza kuwa tofauti kwenye itikadi na imani zetu kisiasa lakini linapokuja suala linalogusa maisha na maslahi ya watu siasa ni lazima ijitenge na uhalisia.

Uongozi ni dhamana na matendo na mienendo mizuri sasa ukiona mtu anayeomba Urais anakuwa na tabia za namna hii kwakweli inashangaza na kutia wasiwasi sana. Watanzania mnalo jukumu la kwenda kufanya maamuzi Oktoba 28.

Hawezi kuipata dhamana ya kutungoza kijanja janja.
Akatafute mambo ya kufanya ila sio Urais wa Tanzania yetu, Nchi haiwezi ikaenda kwa mhuni na Kibaraka wa Robert Amsterdam na wenzake
 
Kwa haya mnayosema, inaonyesha Lissu alivyowashika pabaya. Mbona wagombea wako wengi. Kila siku Lissu. Akieleza sera zake zikaeleweka, wananchi wakampa kura, huyo ndiye rais. Mnapoendelea kumuandama ndiyo inaonyesha mnavyomwogopa!
 
Ifike mahali muache kuandika upumbavu na upuuzi...hofu ya nini ? Acheni box la kura liamue kwa haki...
Lissu ni tishio kwa mustakabali wa bwana yule ndio maaana hamuishi kumjadili
Wakp wahombea 17 why lisu peke yake wajinga sana hawa jamaa Na mtaipata mwaka huu ccm mwaka huu hakuna cha doll wala Tume
 
Lissu amejitembeza sana kwa mabeberu ila kaangukia pua.
Tulia kijana usubiri siku atakayoapishwa president
IMG_20200911_143443.jpeg
IMG_20200907_213903.jpeg
IMG_20200906_212246.jpeg
 
Mwaka huu CDM kwa Lissu wamegonga mwamba. Amekua ni mtu mropokaji na wala hana Mahadhi ya kua Rais wa nchi labda aendelee kua mwanasheria tu.
 
Wakp wahombea 17 why lisu peke yake wajinga sana hawa jamaa Na mtaipata mwaka huu ccm mwaka huu hakuna cha doll wala Tume
We unaumia lissu kuzungumzwa? kama waona anafaa mtetee ufute uo ujinga otherwise unakimbia kivuli chako
 
Lissu kapwaya sana,ashauriwe kusitisha campaign,anapoteza fedha,Magufuli so saizi yake.
 
Ccm wamefanya majaribio ya kuongoza nchi kwa miaka 60 wameshindwa.....
Ccm ya mabavu magufuli imejaribu kudanganya watz na kuharibu uchumi wa nchi na wa Wananchi kwa miaka 5.....

Sasaaaaa....... Baaassss

Hatujaribiwi tena......... Ufisadi wa ikulu sasa basi...... Ukandamizaji wa Uhuru na haki zetu sasa basi.....
Uharibifu wa uchumi wetu sasa basi....
Ukabila sasa basi.......
Watoto wa dada sasa basi......
 
Maccm bana.huwaga mnajifanyaga kama nchi niyakwenu nanyie tu ndio mnaoweza kuongoza.Mngekua na huo weledi wakiuongozi mnaouzungumzia nchi isingekua na huu umaskini na ujinga uliokithiri.Umbumbumbu na woga wamabadiliko ndio unaowasumbua ila lazima mjue muda hauko upande wenu.mraandika na kuongea yote ila wakati ni ukuta.
 
Back
Top Bottom