Uchaguzi 2020 Urais sio ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli

Uchambuzi wa kijinga Sana, bila miundombinu imara utaboreshaje maisha ya watu?

Kwa hiyo kujenga meli siyo kuboresha huduma kwa watu?

Hivi hoja ya Corona imeisha Tena?
Msamehe bure hao ndo mazuzu na wafaasi wa Lissu yaani kituko
 
Umeongea pumba tupu. Maendeleo ya mtu mmoja mmoja yanaletwa na mtu mwenyewe. Kazi ya serikali ni kukuwekea miundombinu Bora, na kulinda usalama wako.
Swali moja kwako, so serikali hii inalinda usalama wa raia wake?
 
Expand... Yuko jirani yangu ambae hakumlipia mtoto wake karo shule pale iliyokuwa Biafra Secondary School Kinondoni kwa kisingizio kuwa anajenga nyumba yake kule salasala maana amechoka kuendelea kupanga nyumba za watu. Huyu mtoto aliishia form two akaacha shule. Yule baba Ni kweli Sasa hivi kahamia kwenye nyumba yake lakini mtoto yule anafanya kazi za ulinzi kwenye majumba ya watu kwa kukosa elimu.
 
Teh! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!!

Urais ni kula hela za walipa kodi wakitaka kwenda kazini wanatumia saa mbili barabarani, hawana umeme wa kuaminika, na wakitaka kusafiri safari fupi tu wanatumia siku mbili njiani!.
 
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama...

"Maendeleo hayana chama ila chagua ccm " huu msemo unanichekeshaga sana
 
Swali moja kwako, so serikali hii inalinda usalama wa raia wake?
Kwani wewe na ukoo wako hamupo salama Mpo vitani? Ni ulinzi na uhuru unaopewa na serikali ndio unaofanya saiz uwe hapa, ushashiba makande eksozi inacheuwa tu, raha mustarehe.
 
Basi sawa, mana hapo ndiyo upeo wako ulipoishia
 
Hakuna maendeleo ya watu kabla ya miundombinu, acha propaganda za kindezi mkuu. Huwezi kuwa na maendeleo ya watu bila miundombinu bora ya maji, umeme, elimu, afya, barabara etc.

Sasa wewe endelea kupiga tarumbeta hapo kuwa unataka kuwekewa pesa kwenye account yako.
 
Uki
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama...
Ukitaka fulaha wahi mbinguni kuko hakuna jam wala kazi
 
Uraisi siyo kutemea na mabegi ya hela kwenye majukwaa
.Uraisi siyo kuigiza eti unanunua jogoo

Uraisi siyo kula mahindi ya kuchoma.
 
Mungu hakumuumba kwanza binadamu kabla ya kutengeneza vitu (dunia)

Mungu aliumba vitu (dunia) na baadaye akaumba watu.

Mungu angekuwa mjinga kama wewe angeanza kwanza na mtu halafu baadaye vitu (dunia)

Ni sawa na mjinga fulani amzae mtoto sakafuni halafu baadaye aanze kutengeneza kitanda cha kuzalia! Hizi ni akili matope!
Mungu anabusara na anatenda haki hakuna jambo linakemewa na dini kama dhulma..na sisi dua zetu mbaya ni kwa anayetudhulumu na dua za alie dhulumiwa hazirudi nyuma Mungu huzijibu...
 
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama...
Upo Sahihi Hata Mkoloni alivifanya hivyo mbona Hatukumpa Urais?
 
Kila Binadamu ana mapungufu yake. Lakini kuweka miondombinu yenye msukumo wa kuivuta nchi katika mfumo wa kati ni muhimu sana. Rufiji hydropower and SGR ni muhimu sana kwa Tanzania kama inataka kuendelea na kushindana na competitors wetu ambao ni kenya na Mozambique katika kupeleka mizigo kwenye landlocked countries.

Mimi namuunga mkono kwa asilimia 110%, perception ya watanzania inabidi pia ibadilike, tununue bidhaa zetu wenyewe, and pia tue tunafanya value addition as well na hapo tutaweza kutengeneza ajira.

Kitu ambacho kwa mtazamo wangu ambacho naona tunaweza kuukimarisha ni diplomacy na nchi za nje namaanisha EU na world powers. Vitu hivi inabidi unavi balance ili uweze kufanikiwa na hapo nampongeza sana kagame maana anavibalance vizuri tu ana good PR. Sisi kwenye public relations naona bado hatuko vizuri, US wametuweka kwenye travel ban, sometimes unakuta baadhi ya viongozi wanaropoka tu bila kuangalia repercussions.

Kuna baadhi ya watu wanaweza kusema sisi ni nchi huru na hatujali kama tuna travel ban, au EU wakiwa hawatupi msaada and so on lakini unapoekewa travel ban nchi yetu inakuwa katika radar unnecessary na pia mwishoni FDI huwa zinaanguka na hata cost ya mikopo yetu itapanda pia. Singapore ni nchi ambayo ipo strict sana na wananchi wake na kuwaendesha mchakamchaka lakini angalia hatua iliopiga kimaendeleo.
 
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama...
SAY it louder man. AMEN
 
Maendeleo hayana chama
shida mmekosa pakupumulia hakuna kingine🤣🤣🤣
 
Na ili kuwarahisishia shughuli za kiuchumi wananchi wako ni lazima uwaboreshee miundombinu kwanza.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mungu hakumuumba kwanza binadamu kabla ya kutengeneza vitu (dunia)

Mungu aliumba vitu (dunia) na baadaye akaumba watu.

Mungu angekuwa mjinga kama wewe angeanza kwanza na mtu halafu baadaye vitu (dunia)

Ni sawa na mjinga fulani amzae mtoto sakafuni halafu baadaye aanze kutengeneza kitanda cha kuzalia! Hizi ni akili matope!
Mleta mada ni mmoja wa wanaharakati wa Twitter na facebook, ndio wenye maoni muflisi kama mawazo yake yalivyo.
 
Unajivunjia heshima mkuu,hivi kweli umeelewa mada? Sasa mtu kama wewe una uelewa kama huu vip wale wengine?? Taifa linahitaji ukombozi kwa kweli.

Huwezi kukwepa maendeleo ya vitu ili yachagize yale ya watu.

Kuamini kwamba unaweza kumuendeleza mtu kabla ya mazingira yanayomzunguka ni uendawazimu kama mwingine wowote ule.
 
Ila Urais ni kufungua makesi mahakamani Kama Lisu.
 
Back
Top Bottom