Uchaguzi 2020 Urais sio ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli

Uchaguzi 2020 Urais sio ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli

Mungu aliumba vitu wakati watu hawapo angeweza Ku exhaust resources kwa ujenzi wa vitu kwakuwa hakuwepo watu wenye njaa wala uhitaji wowote!
Sasa huyu anachukua hela za michango kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko yeye anaenda kujenga ma culvert Barbara na Ihugo high school haya ni matumizi mabaya ya ubongo kama siyo ushamba wa madaraka.

Mtu anasema hanunui chakula cha dharula na haongezi mishahara kwakuwa anajenga miundombinu nikakumbuka baba mmoja alekuwa na watoto wanalala chini lakini kanunua premio Athlete kwa ajili ya Usafiri wa familia hii ikapelekea manungu'uniko kila uchao.
This is the hell kind of utopolo taking place but wonderfu there are few enthusiastic thugs these and embarrassing plots of economic sabotage and destruction implemented by the draconian leader.
 
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama
Sasa hayo maendeleo yanatokana na nini labda? Mi nikajua kwanza ni miundombinu. Then bata! Au??
 
Kama huu ndio weledi uliopo huko upinzani basi, mmemalizika kifikra!
Eti Kujenga reli, mabwawa ya umeme, flyover, na barabara sio hatua za maendeleo?
Au uko chekechea mkuu? Tumia akili yako kidogo uliyonayo kutafuta uhusiano uliopo baina ya ukuaji wa uchumi na miundombinu imara ( kwa lugha ya mabwana zenu mabeberu wanaita economic infrastructures)
 
Mungu hakumuumba kwanza binadamu kabla ya kutengeneza vitu (dunia)

Mungu aliumba vitu (dunia) na baadaye akaumba watu.

Mungu angekuwa mjinga kama wewe angeanza kwanza na mtu halafu baadaye vitu (dunia)

Ni sawa na mjinga fulani amzae mtoto sakafuni halafu baadaye aanze kutengeneza kitanda cha kuzalia! Hizi ni akili matope!
Kuna wendawazimu wanadhani watu wanaweza kuendelea bila miundombinu bora. Nawaita wendawazimu kwa kuwa wengi wao wamepita madarasani wakafundishwa kuwa miundombinu bora ni kiashiria mojawapo cha maendeleo.

Huwa nashangaa kuona vyama vinavyotaka kupewa dhamana ya kuongoza nchi havijui uhusiano uliopo baina ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na miundombinu ya umma.

Wapinzani walipaswa kuja na hoja zinazoingia akilini na si hizi za kukejeli miundombinu na kuiita vitu.

Enyi wendawazimu wasomi, vitu ni kama vile baisikeli, gari, luninga, bakuli, pikipiki, simu, na vijiko. Bali madaraja, barabara, bandari, viwanja vya ndege, na fly over hiitwa miundombinu na si vitu.
 
Mungu hakumuumba kwanza binadamu kabla ya kutengeneza vitu (dunia)

Mungu aliumba vitu (dunia) na baadaye akaumba watu.

Mungu angekuwa mjinga kama wewe angeanza kwanza na mtu halafu baadaye vitu (dunia)

Ni sawa na mjinga fulani amzae mtoto sakafuni halafu baadaye aanze kutengeneza kitanda cha kuzalia! Hizi ni akili matope!
Kwa hili jibu, ikiwa mtu hataelewa basi hauenda asije kuelewa milele.
 
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.

Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa kipato cha mwananchi wa kawaida, ni uwezo wa kununua na kulipia mahitaji muhimu na ya lazima, ni furaha katika jamii, ni ukuaji na maendeleo ya huduma za jamii, ni utawala bora, ni uhuru na demokrasia, ni uwezo wa kugharimia mavazi, chakula, na malazi.

Urais sio kutembea na kundi la walinzi na magari na ndege za kivita. Urais ni alama ya upendo, amani, umoja na mshikamano. Ni alama ya mfariji mkuu, ni kimbilio la walioonewa, ni kilimbilio la wanyonge, ni alama ya ucha Mungu, ni kuhani mkuu katika nchi, ni mtetezi wa wajane na watoto yatima, ni baba kwa wasio na baba, ni mpatanishi, ni mwamuzi, ni mfariji.

Urais sio uungu, ni ubinadamu, ni unyenyekevu, ni utu wema, ni upole, ni kiasi, ni usamaria, ni uponyaji, ni usikivu, ni uhodari, ni ucha Mungu.

Urais sio miundo mbinu.

Urais ni taasisi pana.

Maendeleo hayana chama
In short ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli ni kazi za magavana ktk nchi nyingine zenye kufata dhana ya Serikali za majimbo
 
Suluhisho ni wewe kutokuvitumia vikikamilika.

FYI. Maendeleo binafsi ya raia mmoja mmoja hayawezi kuletwa na raisi, wake up and and go out. Dube anasema good thing comes to those who go out and make it happen..since the world is not a bed of roses.

Huwezi kwenda nje na kufanya yatokee as Dube stated kama Raisi hatoimarisha hiyo miundombinu inayoiponda wewe. Kwako sio faida ila siku ukitumia masaa 2 kutoka mkoani badala ya 12 wakati unaleta mwanao atibiwe muhimbili ndio utajua umuhimu wa hii miundombinu

Train ya SGR maximum speed kwa hii ya kwetu itakuwa 160km/hr. Dar mwanza ni 1200 km. Hapo ni masaa kama 8 ukijumlisha vitua inavyosimama. Acheni kuongea vitu msivyovijua. Ya kenya yenyewe inaenda 120km/hr. Mtadanganywa sana na mtakubali tu.
 
Hivi trains za SGR ni masaa mawili badala ya 12 kutoka dar to mwanza? Inapitia wapi kwa huo mwendo isiue watu kama kuku?
Fence or no fence, ndio sasa 2 hours from Dar to Mwanza?
Train ya SGR maximum speed kwa hii ya kwetu itakuwa 160km/hr. Dar mwanza ni 1200 km. Hapo ni masaa 8 au zaidi, ukijumlisha vituo vya inavyosimama. Ya kenya yenyewe inaenda 120km/hr. Kwa kawaida reli zote zinatakiwa ziwe na fence. Hata ya Dar-Moshi na za TAZARA zote fence ni muhimu. Nchi za wenzetu reli za aina zote zina fence. Sio lazima iwe SGR tu.
 
Angalia ilani yako kwanza ya 2015/20 ilikuwa inasema nini alafu uje na hoja zako hizo.
Screenshot_20200827-220356.jpg
 
Hakuna maendeleo ya watu kabla ya miundombinu, acha propaganda za kindezi mkuu. Huwezi kuwa na maendeleo ya watu bila miundombinu bora ya maji, umeme, elimu, afya, barabara etc.

Sasa wewe endelea kupiga tarumbeta hapo kuwa unataka kuwekewa pesa kwenye account yako.

..this is not an either or question.

..maendeleo ya watu ni muhimu.

..ujenzi wa miundombinu pia ni muhimu.

..kinachotakiwa ni kuwa na "BALANCE" ktk masuala hayo.
 
Watu hawali madaraja na ndege, wanakuvyakula. Kama hawawezi kumudu gharama za milo mitatu kwa siku hakuna maana yeyote
 
hizi ndio sera mtanadi kwa wananchi eh!!!!

subirini kuzomewa, maana hamko serious na maisha nyinyi.
 
Huwezi kukwepa maendeleo ya vitu ili yachagize yale ya watu.

Kuamini kwamba unaweza kumuendeleza mtu kabla ya mazingira yanayomzunguka ni uendawazimu kama mwingine wowote ule.
Sasa kama mmefanya yote hayo inakuwaje mnaogopa upinzani ambao haujafanya chochote kati ya hayo?
 
Mfano wako hauna uhalisia aise.Uko ulikosoma hiyo ya Mungu kuumba vitu na kisha mtu usije tena ukairudia kwa watu wenye akili timamu usije ukatuletea habari za kutolewa mbavu moja na nyoka kuongea hapa.Lakini pia lazima ujue ile ililetwa kama theory.Je sasa hivi ambako binadamu wapo kuna haja yakuanza kutengeneza kwanza vitu kabla yakuboresha kwanza maisha yao?.Mimi ninajua mahitaji ndiyo yanayofanya utekelezaji wa hivyo vitu.huwezi kua na vitu bila mahitaji.

Back
Top Bottom