Uchaguzi 2020 Urais sio ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli

Mungu aliumba vitu wakati watu hawapo angeweza Ku exhaust resources kwa ujenzi wa vitu kwakuwa hakuwepo watu wenye njaa wala uhitaji wowote!
Sasa huyu anachukua hela za michango kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko yeye anaenda kujenga ma culvert Barbara na Ihugo high school haya ni matumizi mabaya ya ubongo kama siyo ushamba wa madaraka.

Mtu anasema hanunui chakula cha dharula na haongezi mishahara kwakuwa anajenga miundombinu nikakumbuka baba mmoja alekuwa na watoto wanalala chini lakini kanunua premio Athlete kwa ajili ya Usafiri wa familia hii ikapelekea manungu'uniko kila uchao.
This is the hell kind of utopolo taking place but wonderfu there are few enthusiastic thugs these and embarrassing plots of economic sabotage and destruction implemented by the draconian leader.
 
Sasa hayo maendeleo yanatokana na nini labda? Mi nikajua kwanza ni miundombinu. Then bata! Au??
 
Kama huu ndio weledi uliopo huko upinzani basi, mmemalizika kifikra!
Eti Kujenga reli, mabwawa ya umeme, flyover, na barabara sio hatua za maendeleo?
Au uko chekechea mkuu? Tumia akili yako kidogo uliyonayo kutafuta uhusiano uliopo baina ya ukuaji wa uchumi na miundombinu imara ( kwa lugha ya mabwana zenu mabeberu wanaita economic infrastructures)
 
Kuna wendawazimu wanadhani watu wanaweza kuendelea bila miundombinu bora. Nawaita wendawazimu kwa kuwa wengi wao wamepita madarasani wakafundishwa kuwa miundombinu bora ni kiashiria mojawapo cha maendeleo.

Huwa nashangaa kuona vyama vinavyotaka kupewa dhamana ya kuongoza nchi havijui uhusiano uliopo baina ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na miundombinu ya umma.

Wapinzani walipaswa kuja na hoja zinazoingia akilini na si hizi za kukejeli miundombinu na kuiita vitu.

Enyi wendawazimu wasomi, vitu ni kama vile baisikeli, gari, luninga, bakuli, pikipiki, simu, na vijiko. Bali madaraja, barabara, bandari, viwanja vya ndege, na fly over hiitwa miundombinu na si vitu.
 
Kwa hili jibu, ikiwa mtu hataelewa basi hauenda asije kuelewa milele.
 
In short ujenzi wa SGR, Strigler's Gorge, Flyover, Bombardier na Meli ni kazi za magavana ktk nchi nyingine zenye kufata dhana ya Serikali za majimbo
 

Train ya SGR maximum speed kwa hii ya kwetu itakuwa 160km/hr. Dar mwanza ni 1200 km. Hapo ni masaa kama 8 ukijumlisha vitua inavyosimama. Acheni kuongea vitu msivyovijua. Ya kenya yenyewe inaenda 120km/hr. Mtadanganywa sana na mtakubali tu.
 
Hivi trains za SGR ni masaa mawili badala ya 12 kutoka dar to mwanza? Inapitia wapi kwa huo mwendo isiue watu kama kuku?
Fence or no fence, ndio sasa 2 hours from Dar to Mwanza?
Train ya SGR maximum speed kwa hii ya kwetu itakuwa 160km/hr. Dar mwanza ni 1200 km. Hapo ni masaa 8 au zaidi, ukijumlisha vituo vya inavyosimama. Ya kenya yenyewe inaenda 120km/hr. Kwa kawaida reli zote zinatakiwa ziwe na fence. Hata ya Dar-Moshi na za TAZARA zote fence ni muhimu. Nchi za wenzetu reli za aina zote zina fence. Sio lazima iwe SGR tu.
 
Angalia ilani yako kwanza ya 2015/20 ilikuwa inasema nini alafu uje na hoja zako hizo.
 

..this is not an either or question.

..maendeleo ya watu ni muhimu.

..ujenzi wa miundombinu pia ni muhimu.

..kinachotakiwa ni kuwa na "BALANCE" ktk masuala hayo.
 
Watu hawali madaraja na ndege, wanakuvyakula. Kama hawawezi kumudu gharama za milo mitatu kwa siku hakuna maana yeyote
 
hizi ndio sera mtanadi kwa wananchi eh!!!!

subirini kuzomewa, maana hamko serious na maisha nyinyi.
 
Huwezi kukwepa maendeleo ya vitu ili yachagize yale ya watu.

Kuamini kwamba unaweza kumuendeleza mtu kabla ya mazingira yanayomzunguka ni uendawazimu kama mwingine wowote ule.
Sasa kama mmefanya yote hayo inakuwaje mnaogopa upinzani ambao haujafanya chochote kati ya hayo?
 
Mfano wako hauna uhalisia aise.Uko ulikosoma hiyo ya Mungu kuumba vitu na kisha mtu usije tena ukairudia kwa watu wenye akili timamu usije ukatuletea habari za kutolewa mbavu moja na nyoka kuongea hapa.Lakini pia lazima ujue ile ililetwa kama theory.Je sasa hivi ambako binadamu wapo kuna haja yakuanza kutengeneza kwanza vitu kabla yakuboresha kwanza maisha yao?.Mimi ninajua mahitaji ndiyo yanayofanya utekelezaji wa hivyo vitu.huwezi kua na vitu bila mahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…