Urais siyo kitu cha kuchezewa na mamlaka ya Rais hayajaribiwi

Urais siyo kitu cha kuchezewa na mamlaka ya Rais hayajaribiwi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.

Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.

Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6
HPqBn6GWUAA2k2W.jpg
 
Ajabu huyo Samia akifa kesho mnaanza kujiliza kijinga na kinafiki na kutupigia kelele.
 
Ila sisi CCM tunahangaika sana Yani Kuna muda inabidi tujiweke kuwa machizi tuandike nyuzi hata ambazo sisi wenyewe tunaona ni upuuzi ili mradi tu wakuu wetu wa idara wanaofatilia Account zetu waone propaganda zetu tupewe posho😀😀na itanisikitisha sana kama Kuna mwanaCCM mwenzangu anaandika propaganda alafu hapati ulaji Mimi mwenzenu huku JF nimeshapashindwa kumsifia Bora kule Instagram
 
Nakumbuka Marais wachache waliowahi kuchezewa na wananchi

Mobutu Sese seko- Zaire
Victor poroshenko - ukraine
Robert Mugabe - zimbabwe
Muamar Ghadafi- Libya
Ben Ali -Tunisia
Rajuelina - Madagaska.

...........
Bongoland sio kisiwa
 
Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.

Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.

Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6View attachment 3657414
Ndo maana mkapindua nchi Oktoba 29 2026 ili muyashike mamlaka hayo.
 
Back
Top Bottom