Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6
View attachment 3657414