Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ndio is why katiba mpya inahitajika ili nchi isiendeshwe kaa fadhila za raisKwa hiyo rais anayo amri ya kupoka uhai wa raia zake hovyo pale tu anapojisikia kufanya hivyo. Kikatiba habanwi na mhimili wa bunge wala mahakama, kwa kuwa urais ni mhimili ambao upo juu ya mingine.
We mlamba mk...du tuambie maana yakeHuu uzi ulishawahi kuletwa na Mwashambwa hivi nyie Walamba Mat***o mnajua maana ya Demokrasia?
We ni nani utapigiwa kelele km nani? We ni kapuku tu!Ajabu huyo Samia akifa kesho mnaanza kujiliza kijinga na kinafiki na kutupigia kelele.
Umejuaje Mimi ni kapuku kama wewe sio kapuku? Halafu Mimi siishi Tanzania naishi Kigali, Rwanda. Ndio kwetu. Njoo huku Kigali halafu uniropokee. Stupid idiotWe ni nani utapigiwa kelele km nani? We ni kapuku tu!
Mungu alimchagua wapi? Acha kukufuru kisa kumfirahisha Samiah.naam Rais ni chaguo la Mungu
Ndo maana mkapindua nchi Oktoba 29 2026 ili muyashike mamlaka hayo.Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6View attachment 3657414
naam Rais ni chaguo la Mungu