Ujumbe mahususi ni UPI ,usizunguke wasaidie na wengine kuupata ujumbe mara.Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6View attachment 3657414
Mleta mada mbona kama unatupigia. Kelele?kwani zingine zimeshuka ama zimemea kutokea kusikojulikana?Ama nje ya katiba,nje ya utaratibu?Ikiwa unahoja jaribu kuinyoosha hoja yako ili ujibiwe kwa hoja,usitake ujibiwe ama ujibu hoja kwa mabomu ama risasi.Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6View attachment 3657414
Ndio Maana wanaikanyaga hata katiba Yao!Huu uzi ulishawahi kuletwa na Mwashambwa hivi nyie Walamba Mat***o mnajua maana ya Demokrasia?
Bila shaka wewe ndio mke wa AbdulWatu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria na hakuna kundi ama mtu anaepaswa kuamini kwamba anaweza kulazimisha taifa lifanye mambo kwa matakwa yao,Serikali itaendelea kufanya kazi, taasisi zitaendelea kusimama, na mamlaka ya nchi yataendelea kutekelezwa kwa mujibu wa Katiba na sheria.
Hadi 2030, muda utaongea maji na mafuta yataendelea kutengenishwa mpaka wabaki ambao wanataka kwenda na speed kubwa ya mabadiliko ya Rais Dkt Samia.
Tuzidishe maombi kwa Taifa letu na Rais wetu ambae Mwenyezi Mungu katupendelea kutupatia katika kipindi hiki cha awamu ya 6View attachment 3657414
unamaanisha wapenda haki, wapenda siasa safi na watu wenye nidhamu na uaminifu na uzalendo wa kweli kwa nchi yao hawapaswi kumchezea rais ilaWatu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria na taasisi zinazopaswa kuheshimiwa.