Fursa kuu, kiuchumi, aliyonayo, ni kuhakikisha, once and for all, jibu linapatikana kwa swali lifuatalo:Sehemu ya Tano - Fursa alizonazo Rais Samia Suluhu Hassan kujenga legacy yake.
Fursa kuu, kiuchumi, aliyonayo, ni kuhakikisha, once and for all, jibu linapatikana kwa swali lifuatalo:
Tanzania ni nchi inayojenga uchumi wa kujitegemea kwa misingi ya:
A. Ujamaa
B. Ubepari
C. Siyo Ujamaa wala Ubepari
D. Vyote Ujamaa na Ubepari
Vinginevyo, safari yetu itakuwa tunapiga hatua moja mbele, mbili nyuma.
You are right kwa maana ya "kujitegemea" uliyoitaja ya kuwa completely independent. Lakini hiyo ni strawman argument. Hoja niliyoiposti ni kujitegemea.Nchi inayojitegemea kiuchumi maana yake ni ile ambayo ni "completely independent", inazalisha bidhaa na huduma zote zinazohitajika ndani ya nchi, hivyo kutohitaji to import goods or services nje ya nchi.
Hakuna nchi ya namna hiyo duniani, kwahiyo Dhana ya "uchumi wa kujitegemea" ni dhana potofu, totally misplaced.
Kinachohitajika ni sera na mikakati ya kujenga - a strong and resilient economy that can effectively withstand global competition. Tukipanga na kuamua, hilo linawezekana.
Na haya ni matatizo ya kutawaliwa bila mawazo mbadala. Swali hili waulizwe CCMFursa kuu, kiuchumi, aliyonayo, ni kuhakikisha, once and for all, jibu linapatikana kwa swali lifuatalo:
Tanzania ni nchi inayojenga uchumi wa kujitegemea kwa misingi ya:
A. Ujamaa
B. Ubepari
C. Siyo Ujamaa wala Ubepari
D. Vyote Ujamaa na Ubepari
Vinginevyo, safari yetu itakuwa tunapiga hatua moja mbele, mbili nyuma.
Hiyo ni strawman-argument ya aliyeuliza. Kachukua "kujitegemea" akatafsiri ni "completely independent", halafu akauliza atajiwe nchi ambayo ni "completely independent".Kuna swali moja limeulizwa '' ni nchi gani iliyo completely independent' katika uchumi?
Unavyoona, Tanzania kwa sasa inatumia falsafa za ujamaa, ubepari, mchanyato wa ujamaa na ubepari, au si ujamaa wala ubepari?Na haya ni matatizo ya kutawaliwa bila mawazo mbadala. Swali hili waulizwe CCM
Hiyo ni strawman-argument ya aliyeuliza. Kachukua "kujitegemea" akatafsiri ni "completely independent", halafu akauliza atajiwe nchi ambayo ni "completely independent".
Straw Man Fallacy
What is a straw man fallacy? Are you arguing against your opponent's point or against a position you've made up?owl.excelsior.edu
"Usio tegemezi.""wa kujitegemea"
Unavyoona, Tanzania kwa sasa inatumia falsafa za ujamaa, ubepari, mchanyato wa ujamaa na ubepari, au si ujamaa wala ubepari?
Kwa hiyo unasema Tanzania inafuata ubepari. Basi hiyo ndiyo fursa kwa mkuu wa nchi kutangaza rasmi kwamba Tanzania ni nchi ya kibepari. Na pale kwenye katiba mwanzonimwanzoni, parekebishwe kusema hivyo.Tanzania inaendelea kuwa "An Underveloped Capitalist Society".
Kwa hiyo unasema Tanzania inafuata ubepari. Basi hiyo ndiyo fursa kwa mkuu wa nchi kutangaza rasmi kwamba Tanzania ni nchi ya kibepari. Na pale kwenye katiba mwanzonimwanzoni, parekebishwe kusema hivyo.
Unarudia makosa yale yale. Sera za nchi za muda mrefu hazitengenezwi au kutangazwa na mtuKwa hiyo unasema Tanzania inafuata ubepari. Basi hiyo ndiyo fursa kwa mkuu wa nchi kutangaza rasmi kwamba Tanzania ni nchi ya kibepari. Na pale kwenye katiba mwanzonimwanzoni, parekebishwe kusema hivyo.
Maana yake, afanye cha kufanyika, under her watch, nchi ichague pa kupita kiuchumi. Mwishowe tunasema ni yeye ndiye kaleta, hata kama ubepari utakuwa umeibuliwa na wananchi. The buck stops with her. Ni kama tunavyoiita "Katiba ya Warioba". Lakini siyo kwamba Mzee Warioba aliketi na kutunga mawazo yake na kuyaweka kwenye katiba. Officially, alichofanya ni ku collate mawazo ya wananchi kama mwenyekiti wa tume na kuwasilisha kwa aliyemtuma (Rais).Unarudia makosa yale yale. Sera za nchi za muda mrefu hazitengenezwi au kutangazwa na mtu
Ni makubaliano yanayotoka katika jamii. Executive order siyo synonymous with Policy.
Hivi huoni tunavyobabaika na Bandari ya Bagamoyo?
Kuchagua Ubepari au Ujamaa, siyo jina tu; bali inabidi kuchagua:Nadhani based on your own experience and account, plus my previous post unaweza kuona kwanini ni vigumu kwa Katiba ya nchi kutekeleza hilo. Sana sana inaweza jaribu kurekebisha kwa kuweka kitu loose kidogo kama vile "Ujamaa wa Kidemokrasia". It wont be "ideal" ofcourse but "workable". Hii ni kwasababu - ujamaa wa kidemokrasia unahimiza Serikali kuingilia kiuchumi na Kijamii ili to promote social and economic justice within the framework yenye vionjo vya liberal democracy & mixed economy.
Kuchagua Ubepari au Ujamaa, siyo jina tu; bali inabidi kuchagua:
1. Uchumi wa kupangwa (ujamaa -- central planning of economy: failure rate close to 100%); au uchumi wa soko (ubepari -- umeleta mafanikio makubwa katika historia ya binadamu).
2. Serikali kubwa (ujamaa) au serikali ndogo (ubepari). Kwa mfano, serikali nyingi za mtaa zinatumia maduhuli karibu yote kulipia ankara ya mishahara ya watumishi (ujamaa).
3. Mamlaka makubwa "juu" (ujamaa) au Mamlaka yaliyogatuliwa mpaka ngazi ya mtu binafsi (ubepari).
4. Serikali na taasisi zake inakuwa refa-mchezaji (ujamaa, inatunga sera, na wakati huohuo inaingia kufanya biashara kushindana na wananchi); au serikali inakuwa mpenzi-mtazamaji kuangalia yanayoendelea, huku 'filimbi' zikiwa chache (ubepari).
Ni wazi soko huria ndio njia itakayompa mafanikio makubwa haraka. Lakini hapo itabidi awe makini na taasisi za serikali zilizo refa-wachezaji kwani uzoefu unaonesha hawakubali kirahisi kuachilia walivyo refa-mshambuliaji. Utawasikia kwa kibwagizo cha "soko huria siyo soko holela", nk. hivyo kuendeleza "udhibiti".
Hands-off, eyes-on ndio njia rahisi na halisi ya kuleta maendeleo makubwa, mapema kwa raha na furaha. Jirani zetu Kenya wanatupa mfano mzuri: Mwai Kibaki alitumia mbinu za kibepari (uchumi wa soko, hands-off, eyes-on) wakati Kenyatta jr anaonekana kama vile anatumia hands-on approaches. Au natural experiments za East-Germany (Ujamaa) na West-Germany (Ubepari). North Korea (Ujamaa) na South Korea (Ubepari).
Overall, serikali ni kama refarii kwenye mpira: filimbi zikiwa nyingi, kadi kibao, mwishowe mashabiki watamzungumzia refa badala ya wachezaji kwamba ndiye anayeathiri matokeo. Refa mahiri, mpaka dakika ya 90, ni kama hayuko. Filimbi kidogo hapa au pale. Anaacha game iendelee organically. Anaruhusu "advantage" pale inapobidi, na baadhi ya 'faulo' ndogondogo 'anapeta' kuziachilia.
Asante kwa bandiko lako hili muhimu.Sehemu ya sita na ya mwisho itajikita katika mjadala juu ya changamoto zilizopo.
Ukiacha Mwalimu Nyerere aliyesimama kutanabahisha sera za nchi, wengine waliofuata hawakuweza kusema tunafuata mfumo gani. Imekuwa kwamba kila kiongozi anaingia na lake hakuna sera ya nchi yenye dira.Unavyoona, Tanzania kwa sasa inatumia falsafa za ujamaa, ubepari, mchanyato wa ujamaa na ubepari, au si ujamaa wala ubepari?
Integration of Africa into the global capitalist system, beginning with imperialism (ubeberu), slavery (utumwa) and colonialism (ukoloni) haikuwa na lengo la kufaidisha bara la afrika na watu wake. If anything, it was meant to impoverish, exploit and plunder her people and resources. Hali hii ndio iliyopelekea the rise of anti slavery and anti colonialism movements, mara nyingine zikihusisha umwagaji wa damu.How so? Mchambuzi tafafanulie tafadhali