antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hawana jeshi, labda mgambo tuuSound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!
Nyie urojo tu.
Maamuzi yote makubwa makubwa yanafanyika TanganyikaSound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!
Nyie urojo tu.
Hakuna jeshi la ZanzibarSound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!
Nyie urojo tu.
Nyie hamuwezi kuwatenga watanganyika, mnapewa umeme bure toka tanganyika halafu mnaleta ujuaji!
Tutakata mkae giza.
Vyama vyote ni vya MUUNGANO. Ndio maana makao makuu ya CCM yapo Dodoma na Mwenyekiti wa CCM ni Ndugu John P. Magufuli. Kama unataka Zanzibar isingiliwe kwenye uchaguzi basi muwe na vyama vyenu Zanzibar ambayo sio vya Muungano. KUMBUKA: CCM iliundwa na TANU na ASP. CCM ndio imeleta MUUNGANO. Ukitaka Zanzibar iwe huru vunja Muungano.Tunayo mambo mengi tu ya muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo.
Hivi sasa chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta mgombea uraisi wa Zanzibar, katika vitu ambavyo ni makosa ni kuwahusisha Watanganyika katika mchakato wa kumtafuta mtu ambaye atakuwa raisi wa Wazanzibari.
Hivi karibuni kutafanyika mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi wa Zanzibar ndani ya CCM, pamoja na kwamba mchakato utaanzia Zanzibar lakini bado Watanganyika waliomo kwenye kamati kuu na baadae mkutano mkuu wa CCM Taifa utahusika sana katika kuwapata wagombea wa nafasi ua Uraisi huko Zanzibar...