Uchaguzi 2020 Urais wa Zanzibar siyo jambo la Muungano. Si sahihi kwa Watanganyika kushiriki kwa namna yoyote ile kumpata Rais wa Zanzibar

Uchaguzi 2020 Urais wa Zanzibar siyo jambo la Muungano. Si sahihi kwa Watanganyika kushiriki kwa namna yoyote ile kumpata Rais wa Zanzibar

Sound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!

Nyie urojo tu.
Hawana jeshi, labda mgambo tuu
 
Sound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!

Nyie urojo tu.
Maamuzi yote makubwa makubwa yanafanyika Tanganyika
 
Sound zenu mnajiliwaza tu; kama mna bunge, serikali, jeshi, wimbo wa taifa, mahakama, na kila kitu...nini kinawashinda kuyafikia hayo maendeleo mnayoimba kila siku?!

Nyie urojo tu.
Hakuna jeshi la Zanzibar
 
Tatizo la wa Znz ukiwaachia wachaguane wenyewe watagawana Kenchi za kupaulia

Mzee Karume walimpa nafasi wenyewe wakamtia Risasi

Walimchagua wenyewe Mzee Jumbe wakafitinishan hadi Dodoma akatimuliwa

Tangu hapo tukaamua kuwachagulia Rais kuanzia 1984 hado leo mambo yametulia na Wanastaaf kwa salama na kabla ya hapo hakuna Rais wa Znz aliestaaf, mmoja alipinduliwa Dodoma kwenye Kikao mwingine akapinduliwa kwa Risasi.

Mzee Mwinyi, Mzee Idrisa, Dr Salmeen, Amani Karume, Dr Shein na sasa pia tutawaongoza
 
Pia Idadi ya Wazanzibar walioolewa bara ni kubwa kuliko ya wa Tanganyika walioolewa Zanzibar
Nyie hamuwezi kuwatenga watanganyika, mnapewa umeme bure toka tanganyika halafu mnaleta ujuaji!

Tutakata mkae giza.
 
Zanzibar ni Wake zetu, tuliwaoa rasmi na Washenga wakuu wawili walishatangulia mbele ya haki

Ndoa hiyo haivunjwi, bado tunampenda mke wetu.
 
Tunayo mambo mengi tu ya muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo.

Hivi sasa chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta mgombea uraisi wa Zanzibar, katika vitu ambavyo ni makosa ni kuwahusisha Watanganyika katika mchakato wa kumtafuta mtu ambaye atakuwa raisi wa Wazanzibari.

Hivi karibuni kutafanyika mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi wa Zanzibar ndani ya CCM, pamoja na kwamba mchakato utaanzia Zanzibar lakini bado Watanganyika waliomo kwenye kamati kuu na baadae mkutano mkuu wa CCM Taifa utahusika sana katika kuwapata wagombea wa nafasi ua Uraisi huko Zanzibar...
Vyama vyote ni vya MUUNGANO. Ndio maana makao makuu ya CCM yapo Dodoma na Mwenyekiti wa CCM ni Ndugu John P. Magufuli. Kama unataka Zanzibar isingiliwe kwenye uchaguzi basi muwe na vyama vyenu Zanzibar ambayo sio vya Muungano. KUMBUKA: CCM iliundwa na TANU na ASP. CCM ndio imeleta MUUNGANO. Ukitaka Zanzibar iwe huru vunja Muungano.
 
Back
Top Bottom