Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Hakika bwana Ali hafai japo kwangu mimi hafai si kwa dhambi zake bali ni wakati sasa Waafrika waamke na kuacha kuzipa hatimiliki za uongozi familia za viongozi! ni aibu kubwa mtu mweusi amebaki kuwa mjinga wa mwisho duniani!
 
Siasa hizi....anyway ndio maisha tuliyoichagua.
 
Ndo maana shangazi yenu Fatuma anakuja kujifaragua Tanganyika tu.

Hawezi kuzungumzia siasa za Zanzibar kwa maana hiyo familia yake ina makandokando kibao tu yaliyomfunga mdomo.
 
hakika bwana Ali hafai japo kwangu mimi hafai si kwa dhambi zake bali ni wakati sasa waafrika waamke na kuacha kuzipa hatimiliki za uongozi familia za viongozi! ni aibu kubwa mtu mweusi amebaki kuwa mjinga wa mwisho duniani!
hizi familia za kisultani inabidi zipigwe chini
 
Nani aliye msafi?? Hapo anaandaliwa Dr Hussein Mwinyi...ambaye atauweka rehani muungano na amani ya Zenji. Ningependa kumwona Shamsi Vuai Nahodha akiwa Rais wa Zanzibar kwa mustakabali mwema wa nchi yetu
Nchi ipi hiyo? Usiseme ni Zanzibar.
 
Maajabu
 
Hawa watoto wa Kizanzibari wasenge sana kuna mwingine kada mtiifu anaitwa kiringo sijui anawafukua tu mitaro makada wenzake na watoto wadogo
Naona unaona wivu wenzako kufukuliwa mitaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…