Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Kwa hiyo Prince Ally ni mbakaji,muuaji,mfiraji na mlevi kufa? Mbona braza yake pamoja na wizi na ulevi wake bado aliongoza vizuri tu miaka Kumi? Mleta mada na wewe ulijuaje bwana Ally ni mfiraji? Kweli CCM Ni shetani,Uvccm happy wanapoaje? Wote kumbe hawana marinda.

Yaani ni no rinda!
 
Nani aliye msafi? Hapo anaandaliwa Dr Hussein Mwinyi...ambaye atauweka rehani muungano na amani ya Zenji. Ningependa kumwona Shamsi Vuai Nahodha akiwa Rais wa Zanzibar kwa mustakabali mwema wa nchi yetu
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Ccm wanaambiana ukweli, sio kama chadema, mnajidanganya, na hakuna wa kumwaambia ukweli Mbowe kuhusu usharati wake.

Pia hebu mshutue Mwanasheria wenu asiyeshinda kesi na wa kukodishwa Bi Fatma Karume aje aone hili somo. Kumbe amekulia hela za wizi " Us$ 20,000,000:00, alafu bado ana warukana watu wengine kwa ufisadi, aanze na Baba zake na awaambie warudishe mali walizoziiba wakiwa Pamoja na Baby ma Bibi yake
 
Fatuma karume aje atueleze hii ya kuficha pesa ughaibuni asije akawa anarusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya kioo hii ya mauaji inajulikana muda mrefu
Hiyo pesa imemfaidisha sana, imemsomesha ughaibuni, ana majumba kemkem Dar, Zanzibar na London, kwa kipato gani?

Usitucheukia na pesa za walala hoi wa visiwani wamezipora. Tena hawana shukrani, Mzee Karume alikuja na wazazi wake akiwa ana mwaka mmoja, wakitokea Malawi, amekulia Zanzibar, ndipo akamuowa mkewe aliye na vinasaba vya ki BULISHI.
 
Ccm wanaambiana ukweli, sio kama chadema, mnajidanganya, na hakuna wa kumwaambia ukweli Mbowe kuhusu usharati wake.

Pia hebu mshutue Mwanasheria wenu asiyeshinda kesi na wa kukodishwa Bi Fatma Karume aje aone hili somo. Kumbe amekulia hela za wizi " Us$ 20,000,000:00, alafu bado ana warukana watu wengine kwa ufisadi, aanze na Baba zake na awaambie warudishe mali walizoziiba wakiwa Pamoja na Baby ma Bibi yake
Ufisad was baba hauhesabiki, kaa kuhesabika ccmbwalitakiwa wawe wamekufa wrote. Familia ya mamvi, be, zingekuwa hoi. Bila kumsahau mramba. Fatima Umuache awapambaniae wakina mama
 
duh tuhuma nzito hizi
na sheria naona tumetungiwa kwa kiasi kikubwa sisi wananchi wa kawaida
 
Watoto wa waliokuwa Maraisi wa Zanzibar wote wajiondoe ktk kuwania Urais wa Zanzibar.

Urais wa Zanzibar sio wa Kisultani kuachiana madaraka.

Karume and Mwinyi yaani mjiondoe tu.
Msitegemee madaraka ya kubebwabebwa hii ni aibu.
Utamaduni wa kurithishana madalaka hadi vijukuu ni Big NO.
 
Wajiondoe kwa katiba ipi??

Sheria ipi inawataka watoto wa waliowahi kuwa viongozi wasigombee!??

Wao ni raia kama raia wengine wana haki kikatiba kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yoyote ile.
Kuwa kwao watoto wa wastaafu wakuwaondolei haki hii muhimu.

Baba akiwa daktari, mtoto nae akija kuwa daktari sawa ila baba akiwa kiongozi mtoto akiwa kiongozi Nongwa..!!
 
Binafsi, napenda kushabikia siasa, lakini si kuishiriki kwa kuomba kura! Kuna watu wanayajua ya watu, kuliko hao watu wanavyojijua!
Ukitaka kujijua juwa ni msafi au vepe gombea chochote, utachafuliwa jukiko debe
 
Wajiondoe kwa katiba ipi??

Sheria ipi inawataka watoto wa waliowahi kuwa viongozi wasigombee!??

Wao ni raia kama raia wengine wana haki kikatiba kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yoyote ile.
Kuwa kwao watoto wa wastaafu wakuwaondolei haki hii muhimu.

Baba akiwa daktari, mtoto nae akija kuwa daktari sawa ila baba akiwa kiongozi mtoto akiwa kiongozi Nongwa..!!
Ndio maana ktk nchi za Visiwani au Uarabuni mnaapenda kuongozwa Kisultani.
Ni swala la kutumia Busara tu.
Babu Karume alikuwa Rais wa Zanzabar.
Mtoto Karume pia kaongoza
Sasa hivi mnamchagua Mjukuu.

Ni swala la kutumia Busara tu.
La sivyo chagueni kuongozwa na Sultani.
Tena wengine huko bado mnamkumbuka Sultan Sayyid Said na mnataka kumrudisha.

Basi mchague Sultani toka Ukoo wa Karume au Mwinyi.
 
Mchagueni tu mwaya. Kesho Fatma Karume naye anaenda kwa CHADEMA.
 
Eehh eeehhh eehh eeehhh eehhh

Kazi kweli kweli

Vp Hussein mwinyi
 
Back
Top Bottom