Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Sasa hapo sijui nani watamuita kuwa ni mchochezi
Huu ni msimu wa ccm kushikana mchawi wenyewe kwa wenyewe.



Wale wa kongwa wawe makini na Job Ndugai, akishindwa kujenga hoja akawii kutumia bakora yule jamaa
 
Fatuma anahusika vipi wakati yeye ni mjukuu tu? Hilo swali waulizwe watoto wa marehemu
Fatuma karume aje atueleze hii ya kuficha pesa ughaibuni asije akawa anarusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya kioo hii ya mauaji inajulikana muda mrefu
 
Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume
Unakumbuka Lumumba College ulikuwa na marafiki wawili wa kiume uliowaingilia pasi utaratibu?
Unakumbuka hii ilivuma hadi babako Mzee Karume kukucharaza bakora hadharani Unguja? Unafahamu baadhi ya tabia hizo uliendelea nazo hata ulipokuwa kwenye balozi zetu mbalimbali na kumbukumbu zipo? Ukijipima kwa hili unajiona unatosha kuwatumikia Wazanzibari katika nafasi yoyote ile? Jibu unalo, nasi tunalo.



Alamsiki.
Ndimi
Abdallah Juma Mserembwe
Zanzibar

Bwana mwandishi, hapo unataka kutuambia kwamba huko Zenji hicho kitendo kina taratibu zake? Afanaaleki
 
Shangazi njoo huku,baba zako na babu yako wanasutwa.
 
Naamini taarifa iko kwa Kamati Kuu ya CCM na ile ya Usalama na Maadili (suala la afya ya akili ya Mgombea ni la kiusalama). [emoji144][emoji144][emoji144]
 
Back
Top Bottom